Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Watu wanavaa barakoa hawamuamini Mungu ? Masista na mapadri mliovaa barakoa hamumuamini Mungu ? His words two weeks ago , now he's very ill , don't play with God .
Dah.. .
Baasi mororoo......

Lets make a Wish.
 
Naam wakuu,

Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani.

Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali wapi? Amepata nafasi ya kutoa neno?

---
Kupitia kurasa ya ya Twita Tundu Lissu amehoji juu ya kutonekana kwa wiki mbili rais wa JMT akiwa kanisani.Pia hajaonekana uraiani, na inashangaza Greyson Msigwa na msemaji wa serikali kutopost taarifa yoyote ya rais akiwa anasali au mitaani kama ilivyokawaida yao.

View attachment 1720084
Wewe Tundu we anza kuwanga mchanamchana maana hiyo ndio inakufaa!
 
Ila kama itakuwa korona basi itakuwa ni aibu kwa taifa na ntasema Mungu hyu hadhiakiwi
Magonjwa ikiw
View attachment 1722146
Hizi platform zinatoa tetesi kuwa Rais amelazwa huko Kenya kutibiwa Corona..

Na uvumi umeachwa uenee kote duniani wakati Rais aliyechaguliwa na wananchi akiwa sehemu isiyojulikana. Hatujui kama yupo Ikulu Dar, Dodoma, Chato au sehemu nyngne. Na labda hatujui kama yupo huko Kenya kunakosemwa si yeyote serikalini aljitokeze kusema hili wala lile.

Sasa tushike lipi? Au tuendelee kuuliza #yukowapimagufuli???
Ukiona vyombo vya habari kama hivi 'Telegraph' vinaandika habari ujue kuna jambo. Hawa watu ni professional hawakurupuki!
 
10 March 2021
Nairobi, Kenya

Yuko wapi Magufuli? Habari ya kina inayoongoza Kituo cha televisheni KTN NEWS KENYA​


Source : KTN News Kenya
 
Back
Top Bottom