mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao.
Amesema kwamba babu yake mzaa baba mzee Mughwai aliwahi kuuwa simba hata baba yake mzee Lissu pia aliwahi kuua Simba hiyo Rais Samia anaweza asijue lakini hajakosea kuniita mnyama huyo mwenye ujasiri na mamlaka katika tamaduni nyingi za dunia.
Soma Pia:

- Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu
- Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu