Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji

Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.

Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.

Haelewi Kama serikali na Bank zinazojegwa hilo bwawa la Umeme zinawaweza pata hizo Pesa.

Haamini bank za Misiri na Tanzania, pamoja na serikali iwapo zina hiyo hela. Pamoja na kuon picha mitandaoni za ujenzi huo, bado haamini. Nimkumbushe tu kwamba Standard Chartered Bank tayari wameshatoa mkopo wa zaidi ya Trillion 1.3.

Ameenda mbali na kuuita mradi wa White elephant, yaani mradi usio na maana Wala faida.

Nimeamini usemi usemao..Ikivuma Sana mwisho wa Siku inapasuka.

Oct 28 tunachagua Vitendo na sio maneno / lopolopo.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Mtoa mada lete na hoja alizosema juu ya mradi huo na sababu alizosema kwa nini serikali na Bank haziwezi sio unatuletea habari upande mmoja kaa ufikirie vizuri....
 
Lissu yuko well informed kwenye hili kuliko Magufuli.

You dont fold your arms, rather you respect science and go for renewable sources of energy; go green, Geothermal, wind, nuclear, solar, bio etc etc; badala ya kuunguza and stretch your meagre resources thin kwa kukimbiza kitu ambacho unajua wazi na vigezo viko wazi kwamba maji yanakwisha, hydro based energy is a no go area and mind you the 3rd world war itapiganwa kwa sababu za upungufu wa maji, follow the Egypt ethiopia negotiations kuhusu ile project ya ethiopia utaelewa unachoambiwa hapa!
 
Lilikuwa wazo zuri sana miaka ya 70 na 80; baada miongo mitatu dunia imeshuhudia athari kubwa za mazingira, vyanzo vya maji vimekauka, misitu imekeketwa kwa kasi ya ajabu, mvua zinanyesha kivivuvivu sana na mito mingi imekauka au ujazo umepungua sana, ukitumia google maps na google weather unapiga hesabu kidogo tu unabaini kwamba miaka 10 tu down the road bwawa hilo litakuwa katika mashaka makubwa sana kuendelea kuzalisha umeme na hapo ni kama kwa sababu za kibajeti; bwawa hilo litakamilika kujengwa maana na uchumi nao hali ni tete, kama unafuatilia kisomi na sio ngonjera za majukwaani kwamba Tanzania ni nchi tajiri sana
 
Katika mradi wa stieglers benki za misri na crdb ni madalali wa benki za mabeberu.

Tusipokuwa makini tunaweza kuingia katika matatizo makubwa kulipa mkopo wa mradi huu.
Tupo makini kamanda, tunahitaji kukaa kwenye meza ya majadiliano na sio kupewa mkopo wenye masharti heshima ni bora.
 
..ktk mradi wa stieglers benki za misri na crdb ni madalali wa benki za mabeberu.

..tusipokuwa makini tunaweza kuingia ktk matatizo makubwa kulipa mkopo wa mradi huu.
Its a dilemma to try to know what's inside.
 
Lissu hile tukio.bado linamsumbua sana, akili yake haipo sawa, halafu ana wivu sana na mafanikio ya awamu ya tano, hajui kuwa kufanikiwa kwa mipango Magufuli ndio kufanikiwa kwa watanzania.
 
..ktk mradi wa stieglers benki za misri na crdb ni madalali wa benki za mabeberu.

..tusipokuwa makini tunaweza kuingia ktk matatizo makubwa kulipa mkopo wa mradi huu.
Huu mradi una matatizo ndio maana hao tunaowaita mabeberu hawana mpango nao. Serikali zote zilizopita ziliuangalia na kukaa mbali nao. Utatuletea tu matatizo hapo mbeleni.

Amandla.
 
Jamaa ana hata A,B,C za uchumi kweli atajua umuhimu wa kuzalisha zaidi ya megawatt 2000 kule rufiji?

Watanzania tuna kawaida ya kushangaa ngoja wamalize kumshangaa huko anapopita wakishamchoka atajua umuhimu megawatt zaidi ya 2000
 
Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.

Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.

Haelewi Kama serikali na Bank zinazojegwa hilo bwawa la Umeme zinawaweza pata hizo Pesa.

Haamini bank za Misiri na Tanzania, pamoja na serikali iwapo zina hiyo hela. Pamoja na kuon picha mitandaoni za ujenzi huo, bado haamini. Nimkumbushe tu kwamba Standard Chartered Bank tayari wameshatoa mkopo wa zaidi ya Trillion 1.3.

Ameenda mbali na kuuita mradi wa White elephant, yaani mradi usio na maana Wala faida.

Nimeamini usemi usemao..Ikivuma Sana mwisho wa Siku inapasuka.

Oct 28 tunachagua Vitendo na sio maneno / lopolopo.
Kuna ufisadi mkubwa kwenye huo mradi wa bwawa la umeme, tenda nyingi za kusuply vitu wamepewa wasukuma wa Chato, Kolomije na rafiki zake, kuna usumbufu mwingi kuwalipa mishahara wenye tenda, mradi unaendeshwa kwa shinda kuna mapungufu mengi sana
 
Back
Top Bottom