Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.
Haelewi Kama serikali na Bank zinazojegwa hilo bwawa la Umeme zinawaweza pata hizo Pesa.
Haamini bank za Misiri na Tanzania, pamoja na serikali iwapo zina hiyo hela. Pamoja na kuon picha mitandaoni za ujenzi huo, bado haamini. Nimkumbushe tu kwamba Standard Chartered Bank tayari wameshatoa mkopo wa zaidi ya Trillion 1.3.
Ameenda mbali na kuuita mradi wa White elephant, yaani mradi usio na maana Wala faida.
Nimeamini usemi usemao..Ikivuma Sana mwisho wa Siku inapasuka.
Oct 28 tunachagua Vitendo na sio maneno / lopolopo.