Lissu anafahamu mengi kuliko unayo fahamu ww mtoa bandiko, siku tutakuja shangaa pesa iyo imekopwa kwa mabeberu tena kwa riba kubwa
Nimemsikiliza lisu vizuri zaidi anasema kwenye miradi mikubwa hiyo ndo kwenye ufisadi sababu hatuwekwi wazi mradi unaendelea bila kufuata utaratibu.
Nimemsikiliza lisu vizuri zaidi anasema kwenye miradi mikubwa hiyo ndo kwenye ufisadi sababu hatuwekwi wazi mradi unaendelea bila kufuata utaratibu.
Uwazi anaoutaka Lissu, ni ule aliotumwa na mabeberu wake! Hao mabeberu wanataka kujua hela tulio nayo maana wanaitaka. Mfano ni tuliponunua ndege, wakaikamata na kushinikiza walipwe. Sasa wamemtuma Lissu a spy ili awape mrejesho!
Miradi strategic ya nchi, haitangazwi hela yake. Hii miradi inafanyika kwa siri kwa nchi zote.