Mikataba mipya ya madini ni siri za mtukufu magufuli na zile Noa aliwaahidi watanzania wote zimeota mbawa na zile milion 50 kila kijiji nazo zimeota mbawa vyote kachukua pesa kampa polepole wazitumie kudhoofisha chadema, CCM wanatumia pesa nyingi kuihujumu chadema badala ya maendeleoKama unaulizia Lissu, ndiye aliyeibua madudu yaliopo kweye mikataba ya madini kule kanda ya ziwa
Anapinga mradiKwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.
Haelewi Kama serikali na Bank zinazojegwa hilo bwawa la Umeme zinawaweza pata hizo Pesa.
Haamini bank za Misiri na Tanzania, pamoja na serikali iwapo zina hiyo hela. Pamoja na kuon picha mitandaoni za ujenzi huo, bado haamini. Nimkumbushe tu kwamba Standard Chartered Bank tayari wameshatoa mkopo wa zaidi ya Trillion 1.3.
Ameenda mbali na kuuita mradi wa White elephant, yaani mradi usio na maana Wala faida.
Nimeamini usemi usemao..Ikivuma Sana mwisho wa Siku inapasuka.
Oct 28 tunachagua Vitendo na sio maneno / lopolopo.
Miradi ya kifisadi utaendelea kuifagilia wewe mnufaika wa utawala huu wa uonevu unyanyasaji manyanyasoAnapinga mradi
Anapinga nchi kuugharimikia
Anapinga maendeleo ya nchi yake
Anataka achaguliwe kuwa rais ili apige deal zake
Polepole si anasema zile milioni 50 kwa kila kijiji zimegawiwa kwa njia mbadala? anasema wengine wamejengewa zahanati, wengine vituo vya afya, wengine barabara, wengine maji nk. Ila kijiji cheti sisi kina kila huduma niliotaja, walete keshi tu 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Mikataba mipya ya madini ni siri za mtukufu magufuli na zile Noa aliwaahidi watanzania wote zimeota mbawa na zile milion 50 kila kijiji nazo zimeota mbawa vyote kachukua pesa kampa polepole wazitumie kudhoofisha chadema, CCM wanatumia pesa nyingi kuihujumu chadema badala ya maendeleo
[emoji849][emoji849]Katika mradi wa stieglers benki za misri na crdb ni madalali wa benki za mabeberu.
Tusipokuwa makini tunaweza kuingia ktk matatizo makubwa kulipa mkopo wa mradi huu.
Leo hii lissu ambaye si mzalendo anaongoza chadema ama kweli wenzetu wameishiwa!Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.
Haelewi Kama serikali na Bank zinazojegwa hilo bwawa la Umeme zinawaweza pata hizo Pesa.
Haamini bank za Misiri na Tanzania, pamoja na serikali iwapo zina hiyo hela. Pamoja na kuon picha mitandaoni za ujenzi huo, bado haamini. Nimkumbushe tu kwamba Standard Chartered Bank tayari wameshatoa mkopo wa zaidi ya Trillion 1.3.
Ameenda mbali na kuuita mradi wa White elephant, yaani mradi usio na maana Wala faida.
Nimeamini usemi usemao..Ikivuma Sana mwisho wa Siku inapasuka.
Oct 28 tunachagua Vitendo na sio maneno / lopolopo.
PIA SOMA
- Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho
- Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji
- Serikali Yakabidhi Eneo La Mradi Wa Umeme Wa Maji Mto Rufiji Kwa Mkandarasi Tayari Kwa Kazi Kuanza
- Rais Magufuli kuzindua mradi wa umeme Mto Rufiji Julai 26, 2019
- SADC yamuunga mkono Rais Dkt Magufuli ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme Rufiji
- Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa
- Mbunge Sospiere Mukweli ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?
- Mradi wa Kufua Umeme Rufiji (MW 2115) uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo wakamilika
- Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje
- Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya mradi wa umeme wa mto Rufiji
- Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda
- Waziri Makamba: Ujenzi wa tuta kwenye bwawa la mwl Nyerere umekamilika
- Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio
- PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022
- Tanesco:- Bwawa la Nyerere litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 2115 hata kama mvua haijanyesha kwa miaka 2
- Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine
- Kutokukamilika kwa Mradi wa Umeme Rufiji mwaka 2022 kama ilivyotakiwa na sasa Kukamilika 2024 ni Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Dkt. Magufuli
- Rais Samia kuzindua zoezi la ujazaji maji katika Bwawa la Julius Nyerere, Disemba 22
- Makamba: Ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67
- Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote
- Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere
- Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua
- Rais Samia akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), 22/12/2022
- TANESCO: Bwawa la Nyerere halitapunguza bei ya umeme
- Serikali: Mashine ya kwanza ya Kufua Umeme Bwawa la Nyerere itawashwa Mwezi Februari 2024
- Rais Samia: Uzalishaji Umeme Bwawa la Nyerere kuanza Januari 2024
- Kamati ya Bunge: Bwawa la Nyerere litakamilika Juni 2024, Tsh. Trilioni 5.85 zimelipwa tayari
- Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
- Rais Samia: Suluhu ya Umeme itapatikana Aprili 2024 baada ya kuanza uzalishaji wa Megawatt 470-500 katika Bwawa la Mwalimu Nyerere!
- Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere
- TANESCO: Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kuhusishwa na athari za mafuriko ya Kibiti na Rufiji ni kupotosha Umma
- Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!
- Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini
TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA
- Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno
- Hatma ya mradi Stiegler’s Gorge: Hatakama hatukubaliana kiitikadi, tukubaliane katika Ushauri wa kitaalam
- Hotuba ya bajeti Nishati; Miradi ya Rufiji na gesi itaumiza nchi: Mnyika aonya
- Tuambiwe ukweli: Stiglers Gorge inaweza kuwa maafa makubwa kwa taifa badala ya furaha
- Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji
- CAG: Bwawa la Nyerere liliharakiswa
- Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!
- Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi
- Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)
- Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)
- UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere
HISTORIA
- Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere katika maporomoko ya mto rufiji unaotekelezwa na Serikali uliasisiwa na Baba wa Taifa mwaka 1975
- CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970
- Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP
- Mwalimu Nyerere aliomba fedha Mradi wa Bwawa la Umeme Rufiji