Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Safari ya kuelekea kwenye ukombozi ni ndefu na isiyopungukiwa machungu:

Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia.

Ni lazima kuwa tayari kusikia habari mbaya. Tena hata zile zinazotuhusu sana.

Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa

Ni lazima tuupige vita u chawa.

"Chawa ni wajumbe wenye kufanya au kusema jambo kwa sababu tu, ya maslahi yao binafsi."

Hatuwezi kuwa kama ma CCM. Tuukatae u CCM.

Long live Tundu Antipas Lissu.

Aluta continua!
 
Safari ya kuelekea kwenye ukombozi ni ndefu na isiyopungukiwa machungu:

View attachment 2798542sa

Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia.

Ni lazima kuwa tayari kusikia habari mbaya. Tena hata zile zinazotuhusu sana.

Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa

Ni lazima tuupige vita u chawa.

"Chawa ni wajumbe wenye kufanya au kusema jambo kwa sababu tu, ya maslahi yao binafsi."

Hatuwezi kuwa kama ma CCM. Tuukatae u CCM.

Long live Tundu Antipas Lissu.

Aluta continua!
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.

Naona makamo mwenyekiti kayarudia maneno ya Fatma Karume halafu bila hata kumnukuu, kawapanga wajinga ndiyo waliwao wanaomsikiliza kama vile maneno yake hayo.

Kina mama wa Kizanzibari wapewe maua yao.
 
Mzanzibari au Mnyasa?

Kama Palestine 😂😂😂
 
Huyo Fatma Karume alipewa na nani hati miliki ya hayo maneno?

Wakati mwingine una ujinga wa kizee.
 
Kwamba hata huyu ni hekima za Fatma Karume pia?

images (4).jpeg

"Itakuwa ni akili matope?"

Alisikika mheshimiwa mbunge mmoja akisema.
 
Huyo Fatma Karume alipewa na nani hati miliki ya hayo maneno?

Wakati mwingine una ujinga wa kizee.
Jinsi ulivyouliza tu unaonesha upo finyu sana kisiasa na kisomi.

Huwezi mwanasiasa "msomi" ukasimama kuongea maneno yaliyokwisha semwa na mwengine, juzi tu, bila kumpa stahiki yake.

Japo angesema tu " Fatma Karume alisema ukweli aliposema chawa wanatokana na uchafu" halafu akaendelea kusherehesha.
 
Mzanzibari au Mnyasa?

Kama Palestine 😂😂😂
Fatma Karume Mzanzibari. Kama wanyasa labda walikuwa babu zake huko, sifahamu.

Lakini kwa muonekano wake ana weusi na weupe, ni damu mchanganyiko.

Chotara la nguvu lile siyo la kujikoroga au la nywele za maiti.
 
Chadema ukimkosoa DJ Unaitwa msaliti haha

Chadema ukikosoa ni sawa na Kulamba ulimi kwenye mashine ya kukatia chuma

Ni kuwa umeshindwa kuiona hekima iliyojaa kutoka kwenye matamshi ya mheshimiwa TAL?

Maneno yako ni kutokea wapi ndugu? Bila source ni uzushi mtupu.

Hata hivyo, nani anapenda kukosolewa? Ni Mussa, Nyerere, Samia au nabii jiwe? Si kuwa sote tunapaswa kukumbushana na kuwa tayari kukumbushwa bila kuchoka? Kwani ubinadamu ni nini?

Au mwezetu wewe ni Malaika?

Maneno haya uliyaona:

"Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia."

Au hata yana maana yoyote kwako?

imhotep, Tindo, WALOLA VUNZYA, Elli, Allen Kilewella na wanathaura wengine tusaidiane kumwaga darasa.
 
Back
Top Bottom