Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

Au sio?? Apaaa iduma

Kwamba mayi ni mazito kuliko damu siyo?

"Chawa ni wajumbe wenye kufanya au kusema jambo kwa sababu tu, ya maslahi yao binafsi."

Kwamba ni kimaokoto zaidi siyo?

Mafumbo fumbieni werevu wajinga watawang'amua!
 
Inasikitisha lakini inatia moyo pia:

1. Watu wote si wajinga, wengine wanaona ila wananyamaza.
2. Lissu anayo nafasi ya pekee ya kuyaleta makundi yote pamoja.
3. Lissu anayo nafasi ya kuweza kuwakemea wapotofu wote.
4. Lissu anao weledi, busara na moral authority juu ya makundi yote ya werevu na pia wajinga.

Aungurumapo simba mcheza nani?

imhotep, JokaKuu, Mshana Jr, Tua Ngoma, mambio, Lusungo, Kalamu na wanathaura wengine. Ni katika wema tu wandugu.
Mkuu umenena vyema
Wengi ndani ya Chadema wamejisahau sana..
 
Ajabu ni kuwa, kuna wanachukia mno wakiona mchango wa Lissu kwenye ukombozi usiopingika, unatapotambulika kokote na hasa inapokuwa dhahiri anastahili kupewa maua yake.

Humo wamo kutokea CCM, CHADEMA na hata wasomi wenziwe.

CCM - Hawa wanajua huyu anawapalilia kiama chao kwa dhahiri karibuni.

CHADEMA - Hawa ni wale wa Baniani mbaya ila kiatu chake dawa.

Wasomi - husuda za kisomi na chuki za mafanikio mtambuka.

Pascal Mayalla, Allen Kilewella, Retired, JokaKuu, Elli, Zawadini, Retired, denoo JG na waungwana wengine si kuwa huyu ndugu aongezewe ulinzi?
 
Ajabu ni kuwa, kuna wanaochukia mno wakiona mchango wa Lissu kwenye ukombozi usiopingika, unatapombulika kokote na hasa inapokuwa dhahiri anastahili kupewa maua yake.

Humo wamo kutokea CCM, CHADEMA na hata wasomi wenziwe.

CCM - Hawa wanajua huyu anawapalilia kiama chao kwa dhahiri karibuni.

CHADEMA - Hawa ni wale wa Baniani mbaya ila kiatu chake dawa.

Wasomi - husuda za kisomi na chuki za mafanikio mtambuka.

Pascal Mayalla, Allen Kilewella, Retired, JokaKuu, Kalamu, Elli, Zawadini, Retired, denoo JG na waungwana wengine si kuwa huyu ndugu aongezewe ulinzi?
Kama inafika stage ya kuwa na shaka mpaka na marafiki zake wa karibu, basi hali inaonekana kuwa mbaya zaidi, lakini la msingi naona tusijiweke kwenye mazingira ya hofu halafu baadae tuje kufa kwa pressure tulizojitengenezea wenyewe.

Muhimu tukumbuke land scape ya siasa zetu, kisha tutazame kilichotokea, baada ya hapo ndio tujiulize, tatizo linaweza kuwa limeanzia wapi..
 
Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa

Long live Tundu Antipas Lissu.

Aluta continua!
Naunga mkono hoja, swali ni jee Chadema Kiko tayari kukosolewa?, kiko tayari kuikosoa?.
Hatua ya kwanza kabla ya kuwa tayari kujikosoa ni kwanza ni kujitambua kuwa Chadema sio chama malaika, kinaweza kukosea, ukiisha jitambua utaona makosa yako, utakubali makosa yako, utajikosoa, utajirekebisha, ndipo utasonga mbele!.

Swali kuu la msingi ni jee Chadema inajitambua?. Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
P
 
Kama inafika stage ya kuwa na shaka mpaka na marafiki zake wa karibu, basi hali inaonekana kuwa mbaya zaidi, lakini la msingi naona tusijiweke kwenye mazingira ya hofu halafu baadae tuje kufa kwa pressure tulizojitengenezea wenyewe.

Muhimu tukumbuke land scape ya siasa zetu, kisha tutazame kilichotokea, baada ya hapo ndio tujiulize, tatizo linaweza kuwa limeanzia wapi..

Kwani umeona kule kutuhumiana u bavicha kutokea popote kungalipo? Umeona wapi issues za huyu mwamba ziko covered?

Hivi wale ndugu zetu wa damu kina Erythrocyte, imhotep, SAGAI GALGANO nk, wangalipo?

Vipi tuliokuwa tukiaminishana kuwa ni mashangazi, makaka au wajomba wa taifa nk, wangalipo?

Bado huoni sababu za msingi za kusugua vichwa?

Vipi kujaribu kufungana midomo huku?

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Hawa kina jogorowisk, cloroquine na wenzao, nao ni wenzetu hawa?

Si kweli kuwa tumeingiwa chawa ambao ni muhimu wakatambulishwa tofauti za hoja na viroja? Mission na malengo?
 
Wala usihangaishwe na kina nani wanasema nini, au wamegeuka mabubu, muhimu kupigania haki hakuchagui muda na haki itapiganiwa na wote wanaoiona na kuisimamia, bila kujali nani na nani wako upande wetu au hawapo.
 
mbowe alisema 2023 mwisho kuwa mwenyekiti, watafanya lini uchaguzi?
 
Naunga mkono hoja, swali ni jee Chadema Kiko tayari kukosolewa?, kiko tayari kuikosoa?.
Hatua ya kwanza kabla ya kuwa tayari kujikosoa ni kwanza ni kujitambua kuwa Chadema sio chama malaika, kinaweza kukosea, ukiisha jitambua utaona makosa yako, utakubali makosa yako, utajikosoa, utajirekebisha, ndipo utasonga mbele!.

Swali kuu la msingi ni jee Chadema inajitambua?. Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
P

Nadhani kuilaumu CHADEMA kama chama si sahihi.

Chama kinaundwa na watu wenye hulka tofauti. Hata CCM huko yawezekana si wote waliooza!

"Ya samaki mmoja akioza, hayana mashiko huku."

Kujikosoa au kukubali kukosolewa hayo huwa ni mapungufu ya watu na kila mmoja ana yake.

"Kukumbushana na kuendelea kukumbushana na kujifunza kwenye likiwamo hilo, ni jukumu takatifu Kwa kila mja.

Zaidi sana nikukumbushe kuuzingatia sana utambulisho. CHADEMA ni nani?

Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni

Hapo ndipo lililo la msingi zaidi ya hilo unaloliona wewe, Kwa mawazo yàngu lakini.
 
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.

Naona makamo mwenyekiti kayarudia maneno ya Fatma Karume halafu bila hata kumnukuu, kawapanga wajinga ndiyo waliwao wanaomsikiliza kama vile maneno yake hayo.

Kina mama wa Kizanzibari wapewe maua yao.
Kule kwenu Gaza magaidi na vizazi vyao wameshauliwa 9,000.

Tunaendelea na zoezi wewe ukiwa shujaa wa mitandaoni
 
mbowe alisema 2023 mwisho kuwa mwenyekiti, watafanya lini uchaguzi?

Tatizo si Mbowe wala uchaguzi 2023 bali inatakiwa katiba mpya sasa. Kama hiyo magic touch anayo, si ndiyo iliyo kipaumbele?
 
Wala usihangaishwe na kina nani wanasema nini, au wamegeuka mabubu, muhimu kupigania haki hakuchagui muda na haki itapiganiwa na wote wanaoiona na kuisimamia, bila kujali nani na nani wako upande wetu au hawapo.

Ndiyo maana bIla kujali nani anasema nini tunayasema mawazo yetu.

"Hayupo mwenye kuwa mwanachama zaidi kuliko mwingine . Kwenye chama hatutoki, Tutabanana humu humu."

Hoja haipingwi kwa rungu. Kutofautiana mawazo ni jambo la afya. BIla kusahau wengi wape.

Elli, imhotep na team ya wapambanaji wote, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kule kwenu Gaza magaidi na vizazi vyao wameshauliwa 9,000.

Tunaendelea na zoezi wewe ukiwa shujaa wa mitandaoni
Umedanganywa sana, sema million 9.

kwani walianza kuuliwa leo au jana?

Wayahudiu walivyokuwa washenI walianza kuwauwa wapalestina wakristo, walisema hawa ndiyo walituuwa Ulaya.

Sasa hivi ukijidai mkristo wayahudi wankutemea makohozi kama vile mzoga wa nguruwe.
 
Ajabu ni kuwa, kuna wanachukia mno wakiona mchango wa Lissu kwenye ukombozi usiopingika, unatapotambulika kokote na hasa inapokuwa dhahiri anastahili kupewa maua yake.

Humo wamo kutokea CCM, CHADEMA na hata wasomi wenziwe.

CCM - Hawa wanajua huyu anawapalilia kiama chao kwa dhahiri karibuni.

CHADEMA - Hawa ni wale wa Baniani mbaya ila kiatu chake dawa.

Wasomi - husuda za kisomi na chuki za mafanikio mtambuka.

Pascal Mayalla, Allen Kilewella, Retired, JokaKuu, Kalamu, Elli, Zawadini, Retired, denoo JG na waungwana wengine si kuwa huyu ndugu aongezewe ulinzi?
Chadema sasa hivi ni kama kikundi cha ulaghai. Wameshindwa kumkemea mwenye kusema mbofu mbofu left right n center huko kwenye social media za wenyewe..
Lissu ni mpigania WaTz
Naona Neema ya Mungu ijuu yake
Wengine ni wafanyabiashara
 
Kuna haja ya kumchagiza Lissu kuifanya kazi hiyo.

Accumen Mo kuna wito wenu huku.
 
Ajabu ni kuwa, kuna wanachukia mno wakiona mchango wa Lissu kwenye ukombozi usiopingika, unatapotambulika kokote na hasa inapokuwa dhahiri anastahili kupewa maua yake.

Humo wamo kutokea CCM, CHADEMA na hata wasomi wenziwe.

CCM - Hawa wanajua huyu anawapalilia kiama chao kwa dhahiri karibuni.

CHADEMA - Hawa ni wale wa Baniani mbaya ila kiatu chake dawa.

Wasomi - husuda za kisomi na chuki za mafanikio mtambuka.

Pascal Mayalla, Allen Kilewella, Retired, JokaKuu, Kalamu, Elli, Zawadini, Retired, denoo JG na waungwana wengine si kuwa huyu ndugu aongezewe ulinzi?
Unapomtaja na kumwita huyo wa kwanza kwenye orodha yako, moja kwa moja najua umekosa umakini katika jambo unalotaka lijadiliwe.
Mchango wangu hapa ni huo tu kwa sasa.
 
Hapo uwanda tambarare (common ground):

1664543999224~2.jpg

Hata miye mchango wangu ni huo Kwa sasa.
 
Back
Top Bottom