Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Safari ya kuelekea kwenye ukombozi ni ndefu na isiyopungukiwa machungu:
View attachment 2798542sa
Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia.
Ni lazima kuwa tayari kusikia habari mbaya. Tena hata zile zinazotuhusu sana.
Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa
Ni lazima tuupige vita u chawa.
"Chawa ni wajumbe wenye kufanya au kusema jambo kwa sababu tu, ya maslahi yao binafsi."
Hatuwezi kuwa kama ma CCM. Tuukatae u CCM.
Long live Tundu Antipas Lissu.
Aluta continua!
Mzanzibari au Mnyasa?Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Naona makamo mwenyekiti kayarudia maneno ya Fatma Karume halafu bila hata kumnukuu, kawapanga wajinga ndiyo waliwao wanaomsikiliza kama vile maneno yake hayo.
Kina mama wa Kizanzibari wapewe maua yao.
Huyo Fatma Karume alipewa na nani hati miliki ya hayo maneno?Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Naona makamo mwenyekiti kayarudia maneno ya Fatma Karume halafu bila hata kumnukuu, kawapanga wajinga ndiyo waliwao wanaomsikiliza kama vile maneno yake hayo.
Kina mama wa Kizanzibari wapewe maua yao.
Mwamba hataki kukosolewa
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Naona makamo mwenyekiti kayarudia maneno ya Fatma Karume halafu bila hata kumnukuu, kawapanga wajinga ndiyo waliwao wanaomsikiliza kama vile maneno yake hayo.
Kina mama wa Kizanzibari wapewe maua yao.
Mzanzibari au Mnyasa?
Kama Palestine πππ
Jinsi ulivyouliza tu unaonesha upo finyu sana kisiasa na kisomi.Huyo Fatma Karume alipewa na nani hati miliki ya hayo maneno?
Wakati mwingine una ujinga wa kizee.
Kuna "chawa" wa nyumbani kwenu aliyetajwa hapo?Kwamba hata huyu ni hekima za Fatma Karume pia?
View attachment 2798621
"Itakuwa ni akili matope?"
Alisikika mheshimiwa mbunge mmoja akisema.
Fatma Karume Mzanzibari. Kama wanyasa labda walikuwa babu zake huko, sifahamu.Mzanzibari au Mnyasa?
Kama Palestine πππ
Kuna "chawa" wa nyumbani kwenu aliyetajwa hapo?
Wa mwilini kwako unaishi nao wapi?Kumbe mkitokea huwa kuna chawa wa majumbani kwenu wametajwa?
Fatma Karume Mzanzibari. Kama wanyasa labda walikuwa babu zake huko, sifahamu.
Lakini kwa muonekano wake ana weusi na weupe, ni damu mchanganyiko.
Chotara la nguvu lile siyo la kujikoroga au la nywele za maiti.
Wa mwilini kwako unaishi nao wapi?
Si wewe uliuliza kama ni mnyasa?
Chadema ukimkosoa DJ Unaitwa msaliti haha
Chadema ukikosoa ni sawa na Kulamba ulimi kwenye mashine ya kukatia chuma