Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

Juzi niliona clip Lissu akiwahutubia watoto wa shule kwa kiingereza kibovu na alikuwa anaongea maneno ya kipuuzi sidhani hata hao wazungu wali enjoy, pamoja na mc kumpamba kwelikweli
Wewe cha kwako kizuri
Peleka upulusi wako huko
Hiyo ni lugha ya wenyewe sio yetu
 

Kwani ubaya uko wpi mtu kusungumza kile anchoona kinafaa hata kama kuna wengine walishazungumza. Hata Magufuli alikuwa anasema muniombee unafikiri yeye alikuwa wakwanza kusema aombewe
 

Inasikitisha lakini inatia moyo pia:

1. Watu wote si wajinga, wengine wanaona ila wananyamaza.
2. Lissu anayo nafasi ya pekee ya kuyaleta makundi yote pamoja.
3. Lissu anayo nafasi ya kuweza kuwakemea wapotofu wote.
4. Lissu anao weledi, busara na moral authority juu ya makundi yote ya werevu na pia wajinga.

Aungurumapo simba mcheza nani?

imhotep, JokaKuu, Mshana Jr, Tua Ngoma, mambio, Lusungo, Kalamu na wanathaura wengine. Ni katika wema tu wandugu.
 
lazima mtapigana tu na utapigwa tu,
jaribu kumkosoa mbowe uone.....
 
Kwani ubaya uko wpi mtu kusungumza kile anchoona kinafaa hata kama kuna wengine walishazungumza. Hata Magufuli alikuwa anasema muniombee unafikiri yeye alikuwa wakwanza kusema aombewe
Hakuna ubaya isipokuwa protokali ya kisomi ni lazima umpe "credit" mwenye wazo na maneno yake.

Hujiomgelei kijinga tu kama Mzee Ngonyani.
 
Tundu anataka watu Guinine watu safi
 
Lissu anaweza kuwa kiongozi bora wa wakati woote
 
Hao labda kama unao wewe. Mada ni kuwahusu ninyi tusiowataka kwetu.

"Chawa, ni trade mark yenu."

"Hatuwezi kuwa kama ma CCM. Tuukatae u CCM." Amesikika TAL akisema.
Hahaaa,Trade mark.

Mwamba umeuaaa
 
Aache tutoa taarifa na kubwabwaja

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…