Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kama ungekuwa sehemu ya mwili wa binaadamu basi ulistahiri kuwa kidoletumboSasa kama anataka uhuru mbona ana walaani wanao mpopoa na mawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ungekuwa sehemu ya mwili wa binaadamu basi ulistahiri kuwa kidoletumboSasa kama anataka uhuru mbona ana walaani wanao mpopoa na mawe?
Yesu alipingwa na watu wa mji wake yaani Nazareth, kwa hiyo kwa akili zako za kichoko Nazareth yote walijaa hao malaya wenzako uliowataja ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.Ikotofauti kubwa kati ya mpinzani na adui wa ndani ya nchi. Huu msamiati wa adui wa ndani ya nchi bado ni mpya hapa Tanzania, sitegemei slow learners kuulewa kwa maneno matupu. Watafunfishwa kwa vitendo.
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.
Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.Kuna nyomi gani? Hiyo ya picha za video za kuchukuliwa kijanja zikiwa na back ground ya mawingu/giza ili kuhadaa wajinga wa ndani na nje ya nchi, wenye fedha za kuchezea kamari /gambling inayo itwa Lissu? Uzuri wenyewe uchaguzi ni kura na kura ni tarakimu isiyo ongopa. Tusikimbiane humu tarahe 28/10. Wiki mbili zijazo si mbali ujue.