Uchaguzi 2020 Lissu: Tutatengeneza nchi ya watu walio huru

Bora yupu anaepuuza watu au anaejali watu?
 
Yesu alipingwa na watu wa mji wake yaani Nazareth, kwa hiyo kwa akili zako za kichoko Nazareth yote walijaa hao malaya wenzako uliowataja ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ikotofauti kubwa kati ya mpinzani na adui wa ndani ya nchi. Huu msamiati wa adui wa ndani ya nchi bado ni mpya hapa Tanzania, sitegemei slow learners kuulewa kwa maneno matupu. Watafundishwa kwa vitendo at the right time and in a right way.
 
Ikotofauti kubwa kati ya mpinzani na adui wa ndani ya nchi. Huu msamiati wa adui wa ndani ya nchi bado ni mpya hapa Tanzania, sitegemei slow learners kuulewa kwa maneno matupu. Watafunfishwa kwa vitendo.
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna nyomi gani? Hiyo ya picha za video za kuchukuliwa kijanja zikiwa na back ground ya mawingu/giza ili kuhadaa wajinga wa ndani na nje ya nchi, wenye fedha za kuchezea kamari /gambling inayo itwa Lissu? Uzuri wenyewe uchaguzi ni kura na kura ni tarakimu isiyo ongopa. Tusikimbiane humu tarahe 28/10. Wiki mbili zijazo si mbali ujue.
 
Swali cdm itaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya kumsimamisha/kumuweka mgombea urais ambaye ni adui wa ndani wa Taifa no 1. Je kitapata wabunge hata watano safari hii? Maswali muhimu haya ya kujiuliza na kuzingatia.
 
Back
Top Bottom