Pre GE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

Pre GE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.

Ameeleza pia kuwa zipo njia mbalimbali za kuzuia uchaguzi ikiwemo kuitisha maandamano nk.
View attachment 3240180
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
MPAKA HAPO TAYARI AMESHAFELI PAKUBWA HANA NJIA YA KUZUIA MAANA MAANDAMANO HAKUNA ATAKAYEKWENDA NA KELEL ZA KUWAAMBIA MABEBERU NAO TAYARI WAMESHAJITOA KUTUSAIDIA KWAHIYO ANAONGEA WAKATI UKIFIKA ANAPANDA NDEGE ANAENDA ULAYA ANAWAACHA MAZWAZWAYA CHADEMA YANASHANGAA
 
KILA KITU KIPO SAWA NIANDAMANE KUTAFUTA NINI HALAFU NIKIVUNJWA MIGUU LISSU ANAKIMBILIA ULAYA
Sasa hivi mnaona kila kitu kipo sawa sababu nchi iko kwenye autopilot kumalizia muhula wa Magufuli, ila Tanzania ya samia post 2025 mtatamani wenyewe kuingia barabarani kuandamana bila mtu yeyote kuwashinikiza wakati ambao itakuwa ni too late. Na mtamkumbuka Lissu.

Bora muandamane sasa ili kuweka mifumo iwe na mizania mizuri.Lissu yeye mambo yake binafsi yako sawa lakini Lissu anawapigania ninyi kutokana na upendo na uzalendo alionao kwa nchi ya Tanzania.
 
unajidangany atena toka usingizini ndugu mambo ya jpm yanaishaje kwamfano ?mama anaendeleza alipoishia jpm na hakuna linalobadirika na tunasoga mbele lissu akija atajifanay mjuaji kuanza kufumua mifumo mizuri aliyoikuta kumbe ndiyo anaharibu kabisa hatufai na hafai kuongoza nchi huyo lissu akaendelee na kazi zake tu huko alikokimbiliaga
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.

Ameeleza pia kuwa zipo njia mbalimbali za kuzuia uchaguzi ikiwemo kuitisha maandamano nk.
View attachment 3240180
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Huyo mnyaturu ni zombie kweli, aende kumleta mke wake na watoto walioko Marekani waandamane.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Lissu na CDM na hata Askofu Bagonza wanahoja za Msingi sana..hebu Wazee wachache wenye AKILI CCM mwambieni Mh Rais asishupaze shingo..afanye marekebisho ya Msingi ya tume ya Uchaguzi na hata Katiba ikiwezdkana..itamlete HESHIMA kubwa ndani na nje ya nchi
 
KILA KITU KIPO SAWA NIANDAMANE KUTAFUTA NINI HALAFU NIKIVUNJWA MIGUU LISSU ANAKIMBILIA ULAYA
Una akili sn, siyo akimbilie kule ni nyumbani ndiko iliko familia yake. Lissu ni kibaraka wa kutuharibia nchi yetu. Vyombo vinamfuatilia kwa ukaribu kuna mstari akivuka atajua hajui, Slaa yuko wapi sahv?
 
Back
Top Bottom