Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
So?Rubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So?Rubbish
Nakuelewa dada anguWe nyumbu ni zero brain, mbn juzi hamkuandamana? Hakuna nyau atajaribu kutoa pua yake
Hahaha.We fanya mambo hakuna kima atazuia au kujaribu kuzuia uchaguzi
unajidangany atena toka usingizini ndugu mambo ya jpm yanaishaje kwamfano ?mama anaendeleza alipoishia jpm na hakuna linalobadirika na tunasoga mbele lissu akija atajifanay mjuaji kuanza kufumua mifumo mizuri aliyoikuta kumbe ndiyo anaharibu kabisa hatufai na hafai kuongoza nchi huyo lissu akaendelee na kazi zake tu huko alikokimbiliaga
Asante kwa ushauri Mbwa wa Chura Kiziwi !Una akili sn, siyo akimbilie kule ni nyumbani ndiko iliko familia yake. Lissu ni kibaraka wa kutuharibia nchi yetu. Vyombo vinamfuatilia kwa ukaribu kuna mstari akivuka atajua hajui, Slaa yuko wapi sahv?
Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.Lissu anahitaji kui fine tune message yake.
Kusema kwamba watazuia uchaguzi hatoeleweka.
Mpuuzi tu huyo hawezi kumchanganya mtu akili. Atafute pesa za kuendeshea chama chake, wamarekani wanaumizwa vichwa vyao ni Trump na Ulaya wanaumizwa vichwa na Ukraine, hakuna wa kufuatilia masuala yetu ya ndaniCCM wakisikia hiyo kauli wanachanganyikiwa
Uchaguzi utafanyika tu, Lissu hana uwezo wa kuisimamisha nchi muda huu, hana kukubalika huko.Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.
Samia ni mpaka 2030, ameshahalalishwa na mkutano mkuu. Wewe endelea kuzeeka na huo ushujaa wa nyuma ya keyboard.Sasa hivi mnaona kila kitu kipo sawa sababu nchi iko kwenye autopilot kumalizia muhula wa Magufuli, ila Tanzania ya samia post 2025 mtatamani wenyewe kuingia barabarani kuandamana bila mtu yeyote kuwashinikiza wakati ambao itakuwa ni too late. Na mtamkumbuka Lissu.
Bora muandamane sasa ili kuweka mifumo iwe na mizania mizuri.Lissu yeye mambo yake binafsi yako sawa lakini Lissu anawapigania ninyi kutokana na upendo na uzalendo alionao kwa nchi ya Tanzania.
Ninyi Wahuni mwaka 2025 hakuna Uchafuzi. Tutafanya juu chini kuuzuia.Uchaguzi utafanyika tu, Lissu hana uwezo wa kuisimamisha nchi muda huu, hana kukubalika huko.
Hakuna mtu ataandamana Ili kutumikia matakwa a Wanasiasa.Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameeleza pia kuwa zipo njia mbalimbali za kuzuia uchaguzi ikiwemo kuitisha maandamano nk.
View attachment 3240180
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Day dreaming.Sasa hivi mnaona kila kitu kipo sawa sababu nchi iko kwenye autopilot kumalizia muhula wa Magufuli, ila Tanzania ya samia post 2025 mtatamani wenyewe kuingia barabarani kuandamana bila mtu yeyote kuwashinikiza wakati ambao itakuwa ni too late. Na mtamkumbuka Lissu.
Bora muandamane sasa ili kuweka mifumo iwe na mizania mizuri.Lissu yeye mambo yake binafsi yako sawa lakini Lissu anawapigania ninyi kutokana na upendo na uzalendo alionao kwa nchi ya Tanzania.
Nafasi hiyo ilitolewa na walisusa.Sasa wasuse vizuriLissu na CDM na hata Askofu Bagonza wanahoja za Msingi sana..hebu Wazee wachache wenye AKILI CCM mwambieni Mh Rais asishupaze shingo..afanye marekebisho ya Msingi ya tume ya Uchaguzi na hata Katiba ikiwezdkana..itamlete HESHIMA kubwa ndani na nje ya nchi
🤔Mpuuzi tu huyo hawezi kumchanganya mtu akili. Atafute pesa za kuendeshea chama chake, wamarekani wanaumizwa vichwa vyao ni Trump na Ulaya wanaumizwa vichwa na Ukraine, hakuna wa kufuatilia masuala yetu ya ndani
Juu chini labda humu jukwaani JF lakini huko mtaani hamna jeuri ya kufanya lolote.Ninyi Wahuni mwaka 2025 hakuna Uchafuzi. Tutafanya juu chini kuuzuia.