Pre GE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hana mpya! Kama ni kuandamana akamuulize mbowe alioandamana na bintiye😄
 
Reactions: Tui

Mifumo ya uchafuzi ndio unasema ni mifumo mizuri. Lissu na watanzania hawatakubali ufanyike uchafuzi mwingine kama uchafuzi wa serikali za mitaa. Pia neno la ahadi lazima litimie ili wenye haki warudishiwe haki zao walizoporwa. Watu wenye mentality kama yako pamoja na ma-ccm mtaipata surprise yenu kubwa.

Mimi sijidanganyi,ni kwamba tu sometimes I conceal my intentions and enveloping ma-ccm in a smokescreen so they are never able to prepare a defense, I pretend to play dumb just to lead ma-ccm to their own defeat.Lissu yeye huwa anawashauri ma-ccm ukweli wazi wazi ili warekebishe.Na kama mnashindwa kuuona ukweli wa Lissu, your minds have decayed beyond repairs.

Lissu anafaa sana tena sana kuiongoza nchi ya Tanzania.Ni mazoea tu ndiyo yanakupa tabu unaogopa mabadiliko.Mabadiliko hayaepukiki uwe unayataka au hauyataki, lakini hayaepukiki.
 
Una akili sn, siyo akimbilie kule ni nyumbani ndiko iliko familia yake. Lissu ni kibaraka wa kutuharibia nchi yetu. Vyombo vinamfuatilia kwa ukaribu kuna mstari akivuka atajua hajui, Slaa yuko wapi sahv?
Asante kwa ushauri Mbwa wa Chura Kiziwi !
 
Lissu anahitaji kui fine tune message yake.

Kusema kwamba watazuia uchaguzi hatoeleweka.
Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.
 
Samia ni mpaka 2030, ameshahalalishwa na mkutano mkuu. Wewe endelea kuzeeka na huo ushujaa wa nyuma ya keyboard.
 
Hakuna mtu ataandamana Ili kutumikia matakwa a Wanasiasa.

Ajenda za Chadema sio ajenda za Wananchi
 
Day dreaming.

Kama Iko autopilot andamana tuone.
 
Nafasi hiyo ilitolewa na walisusa.Sasa wasuse vizuri
 
Uchaguzi wa Tanzania kwa mtu mwenye akili ni ujinga- kwenda kupoteza muda jua kali bora uwe bar walau upate mtori wa moto na bia zako 3 ukalale na si ujinga wa kupanga foleni for NOTHING.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…