Lissu ukiendelea kumshambulia mzanzibar kumbuka kushukuru, ni mzanzibar alijitojitolea kukodisha ndege kuokoa maisha yako

Hapa issue ni uzanzibar tu hakuna lingine lililo kichwani kwa lissu hana shukurani!
 
Huna hoja wewe!
 
Kusaidiwa na mzanzibari sio sababu ya kukaa kimya kwa mambo ya hovyo yanayo fanywa na wazanzibari kwa kigezo Cha muungano wa magumashi, ule msaada haukuondoa ufahamu wae na misimamo yake juu ya kile anacho kiamini na anachoona sio sahihi, hoja yako haina mashiko inapaswa kuupuzwa tuu
 
Unauhakika na hilo au na wewe ulilisikia kama tulivyosikia sisi! Ingesemwa mtanganyika ndiye aliyetoa ndege unadhani nini kingetokea kwenye kabila lake, bwana yule asingeliacha salama.
 

Ama kweli, kosa vyote, ubakiwe na akili!!

Lkwa akili zako ndogo, uliwahi kuambiwa kuwa msaada wa mbunge mzanzibari ni fidia ya kosa lolote atakalofanya mzanzibari yeyote?

Hivi unajua Lisu akiwa katika hali ile, alisaidiwa na watu wangapi? Ufahamu kuwa kuna watanzania, kuna wakenya, kuna wazungu pia. Kwa akili yako, Lisu hata akiona kosa lolote lile hastahili kusema kwa sababu alisaidiwa kuokoa maisha yake? Hiyo ni akili au matope?
 
Siku zote mkichaa humuona mzima ana kichaa zaidi yake!
 
We masaburi mabichi kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…