Akili ya Juma Nkamia, anasifia ili watoto waende shule.Hii ndio akili ya CCM, matako kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya Juma Nkamia, anasifia ili watoto waende shule.Hii ndio akili ya CCM, matako kabisa.
Hapa issue ni uzanzibar tu hakuna lingine lililo kichwani kwa lissu hana shukurani!Ni sawa, lakini haiondoi ukweli wa, anayoyasema, Lisu anazungumzia maswala, issues, ya, nchi, sio individual issues, tofautisha, hata Hao wa zenj wanaotubagua tukiwa unguja,ni jirani zetu huku Dom,wameoa dada zetu, wamewabadilisha dini, wala hatuna shida nao,maisha yanakwemsa
Huna hoja wewe!Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.
Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.
Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!
Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Na safari mgombea mwenza wenu atoke huko huko singida!Huna hoja wewe!
Mwambieni baharia akadhuru hata kaburi huko visiwani!Hii ndio akili ya CCM, matako kabisa.
Unauhakika na hilo au na wewe ulilisikia kama tulivyosikia sisi! Ingesemwa mtanganyika ndiye aliyetoa ndege unadhani nini kingetokea kwenye kabila lake, bwana yule asingeliacha salama.Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.
Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.
Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!
Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.
Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.
Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!
Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!
Siku zote mkichaa humuona mzima ana kichaa zaidi yake!Ama kweli, kosa vyote, ubakiwe na akili!!
Lkwa akili zako ndogo, uliwahi kuambiwa kuwa msaada wa mbunge mzanzibari ni fidia ya kosa lolote atakalofanya mzanzibari yeyote?
Hivi unajua Lisu akiwa katika hali ile, alisaidiwa na watu wangapi? Ufahamu kuwa kuna watanzania, kuna wakenya, kuna wazungu pia. Kwa akili yako, Lisu hata akiona kosa lolote lile hastahili kusema kwa sababu alisaidiwa kuokoa maisha yake? Hiyo ni akili au matope?
We masaburi mabichi kabisa...Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,