kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Tangu Lini tukaanza kupangiana cha kuongea?Yapo mambo mengi Sana ya kuyaongelea ambayo wananchi watayaelewa badala ya kumtukana samia mara magufuli nk
Endeleeni kuamini kwamba mtaaminika na kukubalika kwa wananchi kwa kuwasema viongozi majukwaani, LISSU atambue kuwa adui yake yeye sio adui wa wanachi woteTangu Lini tukaanza kupangiana cha kuongea?
Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yanguUnapoandika Lissu halafu ukaweka nukta pacha maana yake Lissu ndio katoa hio kauli,sasa badala yake wewe ndio umetoa mawazo yako ya ki CCM,jifunze
Tusibishane , angalia mikutanoEndeleeni kuamini kwamba mtaaminika na kukubalika kwa wananchi kwa kuwasema viongozi majukwaani, LISSU atambue kuwa adui yake yeye sio adui wa wanachi wote
Box la kura liheshimiwe tu ili ujue Lisu anaeleweka ama la.Endeleeni kuamini kwamba mtaaminika na kukubalika kwa wananchi kwa kuwasema viongozi majukwaani, LISSU atambue kuwa adui yake yeye sio adui wa wanachi wote
Afya ya Leo sio sawa nq ya 2021Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-
1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni
2. Maji safi na salama eneo husika
3. Vifaa mashuleni na walimu na moundo mbinu
4. Wataalam wa afya vituo vingi wamejaa wauguzi tu madaktari hakuna pesa wanachezea tu kununulia magoli
Yapo mambo mengi Sana ya kuyaongelea ambayo wananchi watayaelewa badala ya kumtukana Samia mara Magufuli nk
Hayo si mageni kwa wananchi! Yamekuwa yakiongelewa tokea uhuru! Na wananchi wana hasira nayo!Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-
1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni
2. Maji safi na salama eneo husika
3. Vifaa mashuleni na walimu na moundo mbinu
4. Wataalam wa afya vituo vingi wamejaa wauguzi tu madaktari hakuna pesa wanachezea tu kununulia magoli
Yapo mambo mengi Sana ya kuyaongelea ambayo wananchi watayaelewa badala ya kumtukana Samia mara Magufuli nk
Kweli kabisa , na kwenye ilani Yao ya uchaguzi waoneshe bayana namna ya kupunguza mishahara ya wabunge ambayo ni ubinafsi na ni ULAFI mkubwa. !Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-