hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
muulize kibaka ikiwa shida za wananchi ni yeye apate madaraka na cheo 🐒
Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo?
Hujapata platform Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muulize kibaka ikiwa shida za wananchi ni yeye apate madaraka na cheo 🐒
gentleman,Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo?
Hujapata platform Tu

Kwani mbunge anafanya nini?.Yeye anaangalia maslahi yake. Hasa sheria zitakazomfanya awe Rais. Mambo ya wananchi ni by the way tu. Hafai
gentleman,
waulize wananchi ikiwa mahitaji yao ni vyeo na madaraka kwaajili ya kibaka![]()
Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu.
Najua umeelewa hautarudia makosaUjumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu