Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
huyo ni kibaka na tapeli wa siasa za chadema,Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-
1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni
2. Maji safi na salama eneo husika
3. Vifaa mashuleni na walimu na moundo mbinu
4. Wataalam wa afya vituo vingi wamejaa wauguzi tu madaktari hakuna pesa wanachezea tu kununulia magoli
Yapo mambo mengi Sana ya kuyaongelea ambayo wananchi watayaelewa badala ya kumtukana Samia mara Magufuli nk
anachojua na kutamani yeye ni vyeo na madaraka tu ndio maana kutwa kubwa anazungumzia uchaguzi tu,
na halafu anadhani kwamba shida za wananchi ni yeye apate cheo na siyo hayo uloyataja 🐒