Lissu, ukihutubia anza na matatizo yaliyopo eneo hilo ambayo ni kero kubwa kwa wananchi badala ya maneno ya hovyo hovyo, wananchi hawakuelewi

huyo ni kibaka na tapeli wa siasa za chadema,

anachojua na kutamani yeye ni vyeo na madaraka tu ndio maana kutwa kubwa anazungumzia uchaguzi tu,

na halafu anadhani kwamba shida za wananchi ni yeye apate cheo na siyo hayo uloyataja 🐒
 
Mbona huwa anagusa MZIZi MKUU wa shida kubwa kwa Tanganyika..KATIBA MPYA ILIYO BORA

Au wewe unapenda kusikia unayopenda kusikia?
 
Reactions: I M

Andika hayo maelezo Kwa bwana Lucas Mzee wa kububujikwa na machozi ya Furaha

Yeye anaweza kuwa msaada mkubwa ila sio lissu
 
huyo ni kibaka na tapeli wa siasa za chadema,

anachojua na kutamani yeye ni vyeo na madaraka tu ndio maana kutwa kubwa anazungumzia uchaguzi tu,

na halafu anadhani kwamba shida za wananchi ni yeye apate cheo na siyo hayo uloyataja 🐒

Kwa zile sifa mnazotoaga Kwa serikali unaamini hizo changamoto alizosema mjumbe ni kweli zipo?

Naona kama anapotosha Tu siamini kama Tanzania kuna sehemu ina shida ya hayo mambo
 
Reactions: I M
Endeleeni kuamini kwamba mtaaminika na kukubalika kwa wananchi kwa kuwasema viongozi majukwaani, LISSU atambue kuwa adui yake yeye sio adui wa wanachi wote

..kweli kabisa.

..aongelee shida za wananchi wa eneo husika na awaeleze jinsi uongozi mbovu unavyochangia hali hiyo.

..halafu aunganishe kuwa Tume Huru ya uchaguzi itasaidia ktk kupata uongozi halali, na bora, unaowajali wananchi.
 
Endeleeni kuamini kwamba mtaaminika na kukubalika kwa wananchi kwa kuwasema viongozi majukwaani, LISSU atambue kuwa adui yake yeye sio adui wa wanachi wote
Huna akili wewe mbona wenye akili wote wameelewa somo.
 
Kwa zile sifa mnazotoaga Kwa serikali unaamini hizo changamoto alizosema mjumbe ni kweli zipo?

Naona kama anapotosha Tu siamini kama Tanzania kuna sehemu ina shida ya hayo mambo
muulize kibaka ikiwa shida za wananchi ni yeye apate madaraka na cheo 🐒
 
Ikungi hakuna mbunge ? Hakuna mkurugenzi? Mkuu wa mkoa? Mkuu wa wilaya?

Watatue matatizo hayo eneo lao maana walisema upinzani unakwamisha maendeleo 2020 hivyo waleta maendeleo waulize

Lissu yupo busy na Mambo ya kitaifa
Awambie wapunguze kuja dar kuwa wafanyakaz wa ndani
 
Lisu haamini kwenye maendeleo ya vitu
 
Pumbavu zako hayo matatizo kaleta nani? CCM bado mna ajenda za hovyo miaka yote!
 
Attachments

  • 1739683408339.jpg
    214.3 KB · Views: 1
Unataka kusema mfumo mbovu wa uchaguzi hauwahusu watu wa maeneo hayo?
Ili maendeleo ya kweli yapatikane yanahitaji uongozi bora na uongozi bora unachaguliwa na watu wenyewe kwa uhuru na haki.
Viongozi wabovu ndio hukwamisha maendeleo kwa kuendekeza rushwa, kukosa maono na solutions bora za kkutatua matatizo ya jamii.
 
huyo ni kibaka na tapeli wa siasa za chadema,

anachojua na kutamani yeye ni vyeo na madaraka tu ndio maana kutwa kubwa anazungumzia uchaguzi tu,

na halafu anadhani kwamba shida za wananchi ni yeye apate cheo na siyo hayo uloyataja 🐒
Matatizo yote ya jamii husababishwa na uongozi mbovu.
Uongozi bora hutokana na viongozi bora waliochaguliwa na watu.
Nchi kukosa vipaumbele, matumizi mabaya ya kodi na kila aina ya uozo husababishwa na viongozi wa hovyo wanaopatikana kwa njia za hovyo.
 
Sikuyasikia haya kwenye miaka 48 ya CCM!!
 
Kwani mda wa kampeni huu
 
Sikuyasikia haya kwenye miaka 48 ya CCM!!
Huu ni ujumbe wa Wote kwa pamoja ila wenzao CCM wana mtaji mkubwa wa wajinga kuliko hao ndugu zako CHADEMA ambao ndio kwanza wanajitafuta
 
Reactions: I M
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…