hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Feb 16, 2025 #41 Tlaatlaah said: muulize kibaka ikiwa shida za wananchi ni yeye apate madaraka na cheo π Click to expand... Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo? Hujapata platform Tu
Tlaatlaah said: muulize kibaka ikiwa shida za wananchi ni yeye apate madaraka na cheo π Click to expand... Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo? Hujapata platform Tu
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 16, 2025 #42 hp4510 said: Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo? Hujapata platform Tu Click to expand... gentleman, waulize wananchi ikiwa mahitaji yao ni vyeo na madaraka kwaajili ya kibaka
hp4510 said: Wewe hutaki madaraka? Wewe hutaki cheo? Hujapata platform Tu Click to expand... gentleman, waulize wananchi ikiwa mahitaji yao ni vyeo na madaraka kwaajili ya kibaka
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Feb 16, 2025 #43 chiembe said: Yeye anaangalia maslahi yake. Hasa sheria zitakazomfanya awe Rais. Mambo ya wananchi ni by the way tu. Hafai Click to expand... Kwani mbunge anafanya nini?. Haoni kero za maji n.k?.
chiembe said: Yeye anaangalia maslahi yake. Hasa sheria zitakazomfanya awe Rais. Mambo ya wananchi ni by the way tu. Hafai Click to expand... Kwani mbunge anafanya nini?. Haoni kero za maji n.k?.
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Feb 16, 2025 #44 Tlaatlaah said: gentleman, waulize wananchi ikiwa mahitaji yao ni vyeo na madaraka kwaajili ya kibaka Click to expand... Haha nani sio kiongozi kibaka?
Tlaatlaah said: gentleman, waulize wananchi ikiwa mahitaji yao ni vyeo na madaraka kwaajili ya kibaka Click to expand... Haha nani sio kiongozi kibaka?
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 16, 2025 #45 kichongeochuma said: Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu. Click to expand... kichongeochuma said: Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu Click to expand... Najua umeelewa hautarudia makosa
kichongeochuma said: Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu. Click to expand... kichongeochuma said: Ujumbe umefika ,wewe siyo mhariri wa kuhariri maandishi yangu Click to expand... Najua umeelewa hautarudia makosa