Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

huyu mtu aliyeleta huu uzi kama bado yupo hai, tunaomba aje hapa aangalie huu uzi wake aliokuwa ameuandika 2019. tushalipa zaidi ya bilioni 200 ambazo Lisu alitahadharisha.
 
Tatizo nyuzi za jf huwa hazifutiki ndo shida ilipo
 
Maccm ni makenge tu! Stupid!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka yale 'mazuzu wa kile chama' yalimzomea sana Komredi Lissu na kumkejeli kwa matusi makubwa!
Sijui kama hata yanakumbuka walichofanya dhidi yake na yanayoendelea kwa sasa!
Kushindana na watu wa 'chama kile' ni kupoteza muda wako kwani hawaoni mbali!
 
Mzee wa MIGA😅😅😅
Kiko wapi sasa
 
Ndio maana walificha mwenendo wa kesi tangu Feb mwaka huu
 
Waombe moderators wafute huu ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…