Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

ivi tunawadai accacia au barrick naona mnanivuruga?? plus kuikosa noah
 
Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
Oneni hili Zuzu!! Hivi wakiitwa wenye akili watoke mbele na wewe utatoka? Hivi hoja ni sheria mpya ya madini au hoja ni Acacia?! Yaani ulivyo zwazwa unadhani suala la marekebisho ya sheria za madini kalileta Magufuli ! Shughulisheni akili zenu nyie watu! Nimewaambia hapa ni marekebisho ya Sheria ya Madini #14 ya Mwaka 2010 ndiyo iliipa Bunge meno ya kufanya review na kufanya mabadiliko kila baada ya miaka 5! Review ya kwanza ilifanyika 2012.

Kwa mfano, kabla ya hayo mabadiliko ya 2010; Mrabaha kwa madini ya kawaida ulikuwa 3% na walipofanyia review mwaka 2012 ikawa 4%. Miaka 5 baadae kama ilivyotaka Sheria #14 ya Mwaka 2010; ndipo Mrabaha ukapandishwa tena to 6%. Aidha mwaka 2012 Mrabaha wa Vito vya Thamani na wenyewe ukapanda hadi 5% na 2017 ukapanda hadi 6%!

Lakini kutokana na uzwazwa wenu; mnadhani aliye-initiate mabadiliko ya Sheria ya Madini ni Magufuli! Google "Sheria Mpya ya Madini ya Mwaka 2010" ili ujilongeze!
 
Kuna mahali nimesema haya-account chochote?! Nimekuambia pamoja na kuyazuia makinikia lakini bado wanaigiza pesa za kutosha kupitia pure gold kwa sababu hadi kesho bado wanasafirisha!! Pesa wanaendelea kuingiza; Trilioni 425 hadi sasa kizungumkuti; lakini hata ile USD 300M wamedindisha kuitoa! At the end of the day, ile migodi iliyobakisha miaka michache kuwa economically productive na yenyewe wanaifunga, kisha haooo, wanasepa! Sasa mshindi ni nani hapo?!
Kumsaidia Huyo mjinga ni hivi 70% ya gold inapakiwa kwenye ndege hapo mgodini, na kupelekwa kwa wenyewe,

makinikia yana 30% ya gold,

Maccm wanaambulia mrahaba 3% ,

katika Hiyo 3% ya mrahaba kuna kampuni inaitwa "Alex Stewart" ni ya mwenyekiti mstaafu wa ccm, inakomba 50%
 
Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
Acha ujinga unajisifia mrahaba 6% we kweli bwege, angalau ungesema tunashare 50/50 kwenye stock exchange, ccm MNA tatizo kubwa LA kufikiri
 
Acha ujinga unajisifia mrahaba 6% we kweli bwege, angalau ungesema tunashare 50/50 kwenye stock exchange, ccm MNA tatizo kubwa LA kufikiri
Hiyo ya mrahaba 6% umeitoa ufipa
 
Kumsaidia Huyo mjinga ni hivi 70% ya gold inapakiwa kwenye ndege hapo mgodini, na kupelekwa kwa wenyewe,

makinikia yana 30% ya gold,

Maccm wanaambulia mrahaba 3% ,

katika Hiyo 3% ya mrahaba kuna kampuni inaitwa "Alex Stewart" ni ya mwenyekiti mstaafu wa ccm, inakomba 50%
Kumbe unajua tunavyoibiwa alafu tukitaka kubadilisha sheria unatutisha tutashitakiwa MIGA?

Tutaendelea kuambulia 3% na 30% ya makinikia hadi lini?
 
Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Hawezi kumshinda jiwe na wapambe wake wote 1.5 trillion ziko wapi ,matrilion mlizotuahidi kulipwa na Accacia yako wapi?
 
Maprofesa waliosomeshwa kwa kodi zetu ndo hao wanaosaini mikataba hovyo eti kisa MTU kapanda ndege binafsi na ndo waliosema tz tutalipwa matrilion na accacia kisa mchanga hadi Leo hatuoni watz cyo wajinga muda utaongea
 
Kama yule aliyesaini mkataba kisa jamaa mwekezaji kaja na ndege binafsi xaiv wanalia lia
 
Kwani mpaka sasa serikali INA kesi ngapi UK na imeshashindwa ngapi nyumba wa Lumumba ulizeni mjue sio kukurupuka .
 
Let the fools praise them, I'm sorry, I'm not the one.
Wewe si ni mjinga namna one? Hujui hata raisi wako kichakichaa kapora KOROSHO za watu bila kulipa kutwa kucha unamsifia tu wewe si ni mwehu kabisa
 
Back
Top Bottom