Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Asante Sana CCM Kwa kutuletea Dengue, Hakika mmeahidi na mnatekeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oneni hili Zuzu!! Hivi wakiitwa wenye akili watoke mbele na wewe utatoka? Hivi hoja ni sheria mpya ya madini au hoja ni Acacia?! Yaani ulivyo zwazwa unadhani suala la marekebisho ya sheria za madini kalileta Magufuli ! Shughulisheni akili zenu nyie watu! Nimewaambia hapa ni marekebisho ya Sheria ya Madini #14 ya Mwaka 2010 ndiyo iliipa Bunge meno ya kufanya review na kufanya mabadiliko kila baada ya miaka 5! Review ya kwanza ilifanyika 2012.Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
Wameongeza tozo toka 4% mpaka 7%.Kwa nini mapato ya mrabaha yaongezeke sasa?
Kumsaidia Huyo mjinga ni hivi 70% ya gold inapakiwa kwenye ndege hapo mgodini, na kupelekwa kwa wenyewe,Kuna mahali nimesema haya-account chochote?! Nimekuambia pamoja na kuyazuia makinikia lakini bado wanaigiza pesa za kutosha kupitia pure gold kwa sababu hadi kesho bado wanasafirisha!! Pesa wanaendelea kuingiza; Trilioni 425 hadi sasa kizungumkuti; lakini hata ile USD 300M wamedindisha kuitoa! At the end of the day, ile migodi iliyobakisha miaka michache kuwa economically productive na yenyewe wanaifunga, kisha haooo, wanasepa! Sasa mshindi ni nani hapo?!
Acha ujinga unajisifia mrahaba 6% we kweli bwege, angalau ungesema tunashare 50/50 kwenye stock exchange, ccm MNA tatizo kubwa LA kufikiriKwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
Kumbe unajua tunavyoibiwa alafu tukitaka kubadilisha sheria unatutisha tutashitakiwa MIGA?Kumsaidia Huyo mjinga ni hivi 70% ya gold inapakiwa kwenye ndege hapo mgodini, na kupelekwa kwa wenyewe,
makinikia yana 30% ya gold,
Maccm wanaambulia mrahaba 3% ,
katika Hiyo 3% ya mrahaba kuna kampuni inaitwa "Alex Stewart" ni ya mwenyekiti mstaafu wa ccm, inakomba 50%
Mpaka Ccm wapoteeKumbe unajua tunavyoibiwa alafu tukitaka kubadilisha sheria unatutisha tutashitakiwa MIGA?
Tutaendelea kuambulia 3% na 30% ya makinikia hadi lini?
Hawezi kumshinda jiwe na wapambe wake wote 1.5 trillion ziko wapi ,matrilion mlizotuahidi kulipwa na Accacia yako wapi?Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Wewe si ni mjinga namna one? Hujui hata raisi wako kichakichaa kapora KOROSHO za watu bila kulipa kutwa kucha unamsifia tu wewe si ni mwehu kabisaLet the fools praise them, I'm sorry, I'm not the one.