Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
Zilipopitishwa zile za zamani wa Bunge wa CCM walikuwa wangapI Bunge ni na walikuwa upand gani
 
DPP wa mabeberu ana andaa mshtaka tusubiri kidogo.
 
Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
Nope?
Masikini hawezi kujitutumua never!
Kadri anavyojaribu kujitutumua, ndivyo kamba inavyozidi kukaza mithili ya anakonda anavyozidi kuminya mbavu za mbuzi pale anavyotaka kujitutumua. Akili za Waafrika zimeshikwa na Wazungu.
 
Tanzania Kujitoa MIGA kwaweza kuleta faida kuingia mikataba inayozingatia kulinda rasilimali za taifa.Lakini tuki revisit mikataba iliyosainiwa huko nyuma under MIGA agreement yaweza kutuletea hasara if it is abrogated without consideration of international investors who entered various contractual agreements.Also new International investors may decline to invest into Tanzania if they are not enticed by our investment policies.For example most of investors are very much interested to know how ARBITRATION PROVISION will be treated in case of two parties enters into disputes.Will they be judged using our local courts or International courts?
 
Iko wapi hiyo hasara?
 
Nope?
Masikini hawezi kujitutumua never!
Kadri anavyojaribu kujitutumua, ndivyo kamba inavyozidi kukaza mithili ya anakonda anavyozidi kuminya mbavu za mbuzi pale anavyotaka kujitutumua. Akili za Waafrika zimeshikwa na Wazungu.
Akili za ufipa ndiyo zimeshikwa na wazungu
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Ungejiuliza kwanza ulipata NOAH??? baada ya hapo ndio uje kwenye miga
 
Wasukuma jamani. Alafu ukute magufuli akishaondoka watakuja humu kujifanya wanaharakati. Shubaaamit
 
Tumeshitakiwa?
Mm nataka kufahamu kama bado tupo kwenye hii mikataba ya mahakama za kimataifa au tulishajitoa, achana na maneno ya Lissu. Kama hujui we sema tu sijui, kutokujua si dhambi.
 
Wasukuma jamani. Alafu ukute magufuli akishaondoka watakuja humu kujifanya wanaharakati. Shubaaamit
Sukuma is the biggest empire in Tanzania.

Utawafanya nini
 
Subiri wanakuja soon...…..kesi zinaendelea huko mahakama ya biashara London maamuzi yakitoka huko ndio tutajua tumepigwa au tumepiga.
 
Back
Top Bottom