Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Halafu wewe utapata faida asipo pata urais,watanzania sijui hizi akili tunatoa wapi?.au utakuwa unaenda ikulu kunywa chai na Magufuli?
Sio kila mtu anaweza kuwa Rais, kuwa mwelewa. Lissu hata hadhi ya kuwa mwenyekiti wa saccos pale Ufipa hana, kwa jazba zile atamwongoza nani pale sauti ya zege?.
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.

Wengi wanaenda kuangalia kama ni kweli jamaa kapigwa Risasi 16 ,
 
Wafuasi wa chadema na Lissu,wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba,uchaguzi wa october utawapatia ushindi na kwa Mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.

Hii ni kutokana na Umati ambao umekuwa ukijitokeza kwenye kampeni za ugombea urais kwa mheshimiwa Tundu Lissu. Niwaambie wafuasi wa Chadema endeleeni kufurahia ngojera za mgombea wenu,ila Urais mtaendelea kuusikia hadi 2925.

Sababu ya kwanza ni kwamba,Watanzania wengi mnaowaona kwenye mikutano,hawajajiandikisha,na hata hao waliojiandikisha, kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawataamka kwenda kupiga hiyo kura,kwa vile inajulikana wazi Mjomba Magu anarudi pale Chamwino na Magogoni.

Pili,vyama vya upinzani vyote vimeshapoteza mvuto kwa wananchi, na kuikubali CCM na mgombea wake, kwa yale Serikali ya CCM iliyoyafanya na yanaonekana kwa macho na hata kuyagusa kwa mkono.

Tatu,Viongozi wa vyama vya upinzani wameshapoteza imani kwa wananchi na hasa Wasomi na waelewa wa mambo,ambao miaka michache iliyopita ndiyo tulikuwa tukiunga mkono mageuzi, kwa kuona CCM ni ya watu wasiojielewa. Kupotea kwa imani hii kumetokana na viongozi wenyewe wa vyama vya upinzani kufanya kama taasisi zao, na si za wananchi. Tazama Mbowe na Chadema, Zitto na ACT, hawana tofauti na Mzee Mrema wa TLP, au NCCR ya Mbatia.Ndiyo maana Dr Slaa aliyaona haya mapema akaamua kukaa pembeni.Chadema na wafuasi wenu msijidanganye.
Watu wote walio hai waliojiandikisha 2015 mwaka ambao ccm iliangukia pua watapiga kura tena mwaka huu , kwanza hata hujui mwaka huu waliojiandikisha ni wangapi .
 
Ahaaaa ahaaaa, eti Mange Kimambi, kwani Mange alikuwa hapa nchini, na alikuwa anagombea urais? JPM angekuwa karibu na wapiga kura watu wangetekwa, kuuwawa na kushambuliwa kwa risasi?
Tusiandikie mate wino upo tarehe 28 Oktoba.

Tutakuwa mashahidi wa hao wanaotekwa watakavyompa kura nyingi huyo mtekaji.

Huo utekaji upo Russia, Marekani, Congo, Argentina. Dunia nzima wateja ni wapo.
 
Wengi wanaenda kuangalia kama ni kweli jamaa kapigwa Risasi 16 ,
Wengine wanafanya mikutano ya siasa kama sehemu za kukutana na wachumba zao.

Wengine wezi wa simu wapo kazini.

Na wengi wao ni vijana mashabiki tu ambao hata vitambulisho vya kupiga kura hawana.
 
Naona Misukule ya Lumumba mnaanza kuelewa na kukubali hatua kwa hatua!!

Juzi juzi tu hapa Jiwe na Misukule yake ilikuwa inadanganya umma kwamba CHADEMA ina-post picha fake kwenye social media na kwamba zingine ni zile za 2015!

Leo hii unakiri kwamba "Umati ambao umekuwa ukijitokeza"!!

Well done, inafahamika wanadamu wametofautiana kasi ya kuelewa jambo fulani!!

Wakati wengine ubongo wao unawafanya waelewe kwa haraka sana, wengine ubongo wao unawafanya waelewe pole pole na wengine kutoelewa kabisa!

Kwa mara nyingine, kwa roho nyeupe kabisa ningependa kukupongeza kwa kutokuwa na ubongo lala usiolewa kabisa!!
Kama umati ingekua kura basi mafuriko ya Lowassa yangempa urais. Kwa kawaida watu huwa wanajitokeza kwenye mikutano wakati mwingine kusikiliza kuna lipi jipya. Baada ya hapo kila mmoja anakwenda kuchagua kilicho moyoni. Kwa hali ilivyo, magufuli ana advantage kubwa sana ya kushinda kwa mbali sana, kwasbb kazi yake alioifanya kwa miaka 5 kila mmoja ameiona tofauti na Lissu ambae anaahidi vitu ambavyo ukivisikiliza kwa kina havitekelezeki.
 
Kama umati ingekua kura basi mafuriko ya Lowassa yangempa urais. Kwa kawaida watu huwa wanajitokeza kwenye mikutano wakati mwingine kusikiliza kuna lipi jipya. Baada ya hapo kila mmoja anakwenda kuchagua kilicho moyoni. Kwa hali ilivyo, magufuli ana advantage kubwa sana ya kushinda kwa mbali sana, kwasbb kazi yake alioifanya kwa miaka 5 kila mmoja ameiona tofauti na Lissu ambae anaahidi vitu ambavyo ukivisikiliza kwa kina havitekelezeki.
Unaweza kutaja jambo MOJA tu miongoni mwa yale unayodai "ukisikiliza kwa kina havitekelezeki"?
 
Wavuvi tunamtoa macho lisu kasema anatulipa wahanga wote
Watu wa sekta ya madini wataziba Pengo la kura zenu, maisha yataendelea fresh tu.

Usisahau wale wenye vyeti original waliochukua nafasi ya wale wa vyeti vya stationary, hao pia wataziba Pengo lenu wapendwa wavuvi.
 
Umati wa watu hauwezi kwenda kumsikiliza mtu/ chama wasichokuwa na imani nacho na pia hao wa kusombwa na mikokoteni kwenda kuwaangalia wasanii na wanafunzi wanaofungiwa shule kupelekwa kujaza vichwa ndio wamejiandikisha?😁😂😂hauna hoja kabisa
 
Watu wa sekta ya madini wataziba Pengo la kura zenu, maisha yataendelea fresh tu.

Usisahau wale wenye vyeti original waliochukua nafasi ya wale wa vyeti vya stationary, hao pia wataziba Pengo lenu wapendwa wavuvi.
Uliwaona wangapi unajuwa wavuvi niwangapi nchini tumeungana na vyeti feki+bomoa bomoa mwaka huu sijui mnatokea wapi ni yeye 2020
 
Back
Top Bottom