Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Ananuka yeye sasa. Mnmshabikia ujinga wake tu naye anajiona eti ni Mandela. Nyinyi mko mtandaoni na watoto wenu wanakula nankuishi vizuri huku mke Tundu akitoa machozi huko Belgium. Acheni hizoNeno Kukinukisha,uasi ni neno la kisiasa sawa na neno mageuzi,mapambano na mabadiliko ya uchaguzi wa haki,kila mtu anajua
NO REFORMS NO ELECTION