Bavicha bana hivi kweli uwa mnajielewa?Kwa namna ulivyoandika utakubaliana na mimi kuwa pia hata Baba wa Taifa naye alikuwa Muasi!? Kwa sababu alipowaambia Waingereza kuwa Tanganyika inahitaji kuwa huru basi moja kwa moja alikuwa muasi
We acha sigara bwegeWanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Sasa maana ya kukinukisha ni nin?We acha sigara bwege
Hujui maana ya uasi wa kisiasa wala maana ya kukinukisha , ujualo ni kupinga kila kitu na kila mtu asiye dini yetu.
Mtu wa hovyo sana.
Mkuu hivi kweli unakubali kushikiwa akili na Heche pamoja na Lissu?Mkuu Ritz unapopigania haki za watu usichague watu wa aina gani. Hizi mahakama za hapa bongo sio mahakama ambazo unategemea zitatoa haki kwa mnyonge dhidi ya watawala, ambao ma jaji wanapigiwa simu kuamrishwa nini Cha kufanya. Pia nakumbuka kada Mwenzio Rostam alizibagaza mahakama za Tanzania juu ya utoaji haki.
Tulijua UFIPA itakufa ila hatukutegemea kufa mapema hivi kama moto wa karatasi.Wapi alisema kwenye matamshi yake kuwa ataamsha uasi?
Unajua hii kesi ni rahisi sana sababu nyie wenyewe mnajichanganya. Mwishow mshindwe ku prove mahakamani na dpp afute kesi kama kawaida
Tuliwaambia hamkusikia ,acheni kushirikisha watu kama Maria Sarungi kwenye chama chenu hamkuwa wasikivuHivi Ritz wakati mnajilipua na kufanya mass destruction huwa mnatangaza hadharani ili vyombo vya dora vijue???
Mkaiambie mahakama sasa hapa mnatupigia kelele tu!..Kupigania mabadiriko maane yake ni nini = Uhaini?
Kuninukisha vibaya sana maana yake ni nini = Uhaini?
Kuamusha maasi, maana yake ni nini= Uhaini ?
Hizi lugha za kisiasa zipigwe marufuku hata kwa ccm wenyewe.
Vijana wa mitaani nao wapigwe marufuku kutumia maneno kama hayo ya kukinukisha.
Mpaka sasa tatizo ni tafsiri ya:
Kukinukisha
Kuamsha maasi
Uhaini
Njia za kufanya hayo ni zipi?
Kwenda msituni?
kuongea kwenye jukwaa la siasa?
kupiga kura?
Kujiandikisha ili kumtoa raisi madarakami- petition au referendum?
majeshi kuingia mitaani?
Polisi kukataa kufanya kazi kwa kutotii amri haram?
Njia halisi za kufanya maasi au uhaini ni zipi?
watunga scrip muna kazi ya ziada= proving beyond reasonable doubt , hayo maneno kukinusha maana yake ni uhaini.
Mwisho:
Haya maneno uhaini au kukinukisha maana yake ni nini yakitolewa huko kwenye jukwaa la siasa? Prosecutors muje na majibu yaliyonyooka ya maana, sio yale ya tulidhani...na bla bla kama hizo...
Mnapigiwa kelele wewe na nani? wewe ndiye umeleta mada, ukijibiwa unadai kwamba unapigiwa kelele. Basi ifute mada yako humu na watu hawata ichangia tena. Futa haraka au kama huwezi waambie MOD wakusaidie.Mkaiambie mahakama sasa hapa mnatupigia kelele tu!..
Sasa unakasirika nini..Mnapigiwa kelele wewe na nani? wewe ndiye umeleta mada, ukijibiwa unadai kwamba unapigiwa kelele. Basi ifute mada yako humu na watu hawata ichangia tena. Futa haraka au kama huwezi waambie MOD wakusaidie.
Uasi ni nini, civil disobedience ni nini na uanamapinduzi ni nini?
Ukiwa na serikali dhalimu unaruhusiwa kuiasi au huruhusiwi?
This is not merely a legal matter, there is an ethical matter here, do you know the difference?
Neno Kukinukisha,uasi ni neno la kisiasa sawa na neno mageuzi,mapambano na mabadiliko ya uchaguzi wa haki,kila mtu anajuaWanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.