PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hiyo serika itatiwa presha mpaka imtoe. Ulitaka kuona wananchi wanajitokeza barabarani kupambana na polisi wasiojielewa kukabiliana na raia? Watanzania hawana hulka ya kuandamana kudai haki zao kwa nguvu ila muziki wao ni mnene ingawa huwaoni mitaani wakinyukana na polisi. ogopa sana watu wakimya
Ahahahahaha! So mnategemea TEC, LHRC na international community iwasaidie nyie mkiwa nyuma ya keyboards zenu mnakinukisha sio? Ahahahahaha!! Got it fella!!!
 
Unakuta mtu ana maslahi binafsi na ccm ameajiriwa huko anakula na kushiba, anakuja kujamba ushuzi humu, anakuwa kinyume na upatikanaji wa haki katika chaguzi kwa kuwa yeye kashiba mataptapu ya huko anakotumika kusigina wapambamaji wa haki
 
Na ndio sababu “hakutekwa” alikamatwa kwa taratibu zote za kisheria na kupandishwa kizimbani kwa taratibu na muda ule ule wa kisheria na kwa sasa watu wote timamu wanaacha michakato ya kimahakama iendelee.
So unakili kinyume na hapo hua wanatekwa kweli na uvunjifu wa sheria
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Sidhani kama una akili sawa sawa ,hajazungumza kuasi kupindua nchi au kumpindua Rais amesema watu wahakikishe wanapata viongozi halali kwa nja halali hayo ndiyo maasi aliyoyatangaza na kila mtu anamuunga mkono kwa hilo hata CCM wenyewe ndivyo wanavyotaka uchaguzi uwe huru na haki mtu akishinda watu washangilie uchaguzi wa hivi sasa umekosa radha unaengua wapizani zaidi y Robo tatu na hiyo robo inayobaki unawafanyia figisu figisu.Uasi anaotangaza Lisu ni uasi wakuponya nchi ila Kuna vibaka wachache tu ndiyo hawataki lakini walio wengi hata humo CCM wapo tayari kwa uchaguzi huru na haki kwasabu hivi sasa hata humo CCM kwenye mchujo hupitishi kwakuwa unapenda nakukubalika na wananchi unapitishwa kwakuwa unamtii mwenyekiti na unajipendekeza kwake kwahiyo Mapendekezo anagoyapigania Lisu yakipita hata huko CCM kutakuwa na nidhamu kwani watakuwa wana uhakika kuwa ukipitisha mtu asiyeku,alika kwenye jamii hatashinda.Tumuunge mkono Lisu ili tupate sheria bora za nchi yetu ambazo zitatupatia viongozi wazuri wa kusimamia uchumi wetu
Hivi sasa vijana wanalia ajira hakuna mwakavwa kumi huu ajira serikalini zinatokabkwa kusuavsua ,serikali ndiyo yenye bajeti yote ya nchi karibu trilioni 46 kwahiyo wo ndiyo wanatakiwa wawe waajiri wakubwa .
 
Wewe punguni kweli unaandika maleezo mengi unamuandikia nani?

Sikiliza kauli ya Lissu hapo juu anachongea yeye tofauti na huu uharo wako.
 
So unakili kinyume na hapo hua wanatekwa kweli na uvunjifu wa sheria
Leo mnasaini kanuni za maadili ya uchaguzi au mmesusa? Kaeni mkijua msiposaini hamtashiriki uchaguzi yaani
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Kwa hiyo,ushapata hukumu yake!
 
1744442377026.png
 
Kala mihogo huyu,anaona ndio Amani!
Chama kinahamasisha watu wasijiandikishe wagomee halafu at the same time kinaitisha kikao cha watia nia wa Ubunge.. 😂😂😂
 
Ukitaka kuijua nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa hili basi jaribu kuatarisha kutetelesha amani ya taifa hili
sema amani ya ccm kenge wewe watu wanatekwa mchana kweupe vyombo vyako vya usalama vimekodoa macho tu
 
Tuliwaambia Lissu kichwa yake siyo nzuri hafai kuwa kiongozi hamkusikia!.. haya sasa yuko jela na chama kimekwama na kusimama!
 
_

nafkiri huna historia ya lisu sawa lissu ameanza kukaa huko jela tangu enzi ya mkapa wewe ukiwa bado upo kwenye makende.
 
Nyie hamkujipanga na huu uchaguzi

Kaeni pembeni mpaka 2030 akili ikiwakaa sawa mtatudi na kushiriki!..
Ni lini sisiem ikakubali kuwe na uchaguzi usio was kufoji ?
Hakuna uchaguzi Bali uharibifu na udhalimu.
 
Back
Top Bottom