Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Mkuu mbona kuna vitu mnashindwa kuvielewa kwa utimamu wa kawaida tu! Jaribu hata kutumia japo 20% ya utimamu.
Haina faida wala sio kwa manufaa kuweka clip ½ ½ kisha kutengeneza hoja kupitia clip hiyo fupi. Kuwa mpinzani katika siasa sio uaini na wala hakuna uaini wowote ambao Mhe. Mwenyekiti amezungumza bali ni vile mmeshaifanya kuwa kila dhambi wanafanya mashetani na majini pekee ukisahau kuwa kuna kauli kibao za wanaCCM zina ukakasi ila hatujawahi kuona ukizitengenezea mazingira ya uaini.