PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna nchi fulani watu waliingia barabarani na kulala, hakuna magari kupita, mpaka na watawa walishiriki, mwisho matakwa yao yakatekelezwa.
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Wanadhani hii Nchi ni banana Republic 😂😂
 
Kwani mkuu hujui t

Kwani mkuu hujui tofauti ya maneno uasi na uhaini?

Au uasi unakuwa halali pale tu HAMAS, uzalendo ubapo mshinda?
 
Wanadhani hii Nchi ni banana Republic 😂😂

Una maana hawa?

GoO7bgQX0AAm-2U.jpeg
 
Wapi alisema kwenye matamshi yake kuwa ataamsha uasi?
Unajua hii kesi ni rahisi sana sababu nyie wenyewe mnajichanganya. Mwishow mshindwe ku prove mahakamani na dpp afute kesi kama kawaida
Waulize walivyomuachia huru Dr Sala kutoka uhaini mpaka uchochezi! Kuna namna ssm wanajiabisha wenyewe.
See watakapoulizwa mahakamani kukinukisha maana yake nini uone watakavyopoteana
 
Attachments

  • 1744361270492.jpg
    1744361270492.jpg
    223.8 KB · Views: 22
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Anadhani waasi wanatangaza, waasi wanachukua hatua.
Wanatangaza kumbe hujui.
Fidel castro unaijua historia yake?
Alitangaza uasi, alikuja akamchomoa Fulgencio Batista.
Nelson mandela aliishia Rumande.
Samora machel.
Lissu hamna ataruhusu huo ujinga.
 
Lisu ana akili na uwezo mkubwa wa kisheria lakini hafai kuwa raisi wa nchi hii hata chembe,anahamasisha watu kuingia mtaani kuandamana wakati mkewe yupo ubelgiji na ni raia huko na anafanya biashara zake huko,wanae lisu wanaishi marekani ni raia wa marekani,watanzania wasio na uwezo wa kuelewa nia za lisu ndio wataingia mtaani na watateseka sana,hii nchi huwezi kuleta lugha za uasi halafu dola ikuangalie tu,lazima ashughulikiwe.
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Ila ukisema kuna watu wataingiza Ebola na M-pox serekali inaweza kukuchekea.
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Ametangaza hadharani
 
Kichaa sio lazima uokote makopo,kwa uandishi wako tayari ni mwezi mchanga
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Mwanzisha thread wewe ni MSENGE.
 
Huwezi kufungwa kwa kusema nitaiba! Mpaka uibe ndio unafungwa
 
Back
Top Bottom