PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Mkuu, umeachana na ya Gaza umerudi huku?
 
Msiklize Lissu. Anavyoelezea uasi.
Uasi ni nini, civil disobedience ni nini na uanamapinduzi ni nini?

Ukiwa na serikali dhalimu unaruhusiwa kuiasi au huruhusiwi?

This is not merely a legal matter, there is an ethical matter here, do you know the difference?
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Umemaliza ya Palestina?
 
Unajua uasi wewe? Shule yenyewe ulisaidiwa na bwana yule ....ukamtelekeza....kukaa kimya ni busara pia
 
Anadhani waasi wanatangaza, waasi wanachukua hatua.
Hawa watu viazi sana, yani mtu afanye njama halafu atangaze mbele ya vyombo vya habari??? Elimu yetu imeharibiwa sana na sisiemu, hamna tena watu wenye common sense acha critical thinking! Tuna vilaza kila kona ya wafanya maamuzi na wamewekeza kwa machawa wa kuflip na kutwist mambo muda wote! Masikitiko makubwa
 
Wapi alisema kwenye matamshi yake kuwa ataamsha uasi?
Unajua hii kesi ni rahisi sana sababu nyie wenyewe mnajichanganya. Mwishow mshindwe ku prove mahakamani na dpp afute kesi kama kawaida
Vilaza on fleek... aijipii mwenyewe fomfoo sembuse hawa wapiga kwata?
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Nyie wenye majina hayo akiwaga Rais wa upande ule lazima lazima mje na hoja ambazo haziko na mshiko. Masikio yanu na macho yenu yamefunikwa na satanic verses
 
Mpigania uhuru husimamia kile anachokisema

Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana

Fikiria anasema ataamuasha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.

Hivi kuna mwanasiasa hapo?

Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.

Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo
Waulize akina Kabudi wanaujua uwezo wa Lissu, wala hawabishani naye.
Ila nyie wala mihogo kutwa kucha mnamuongelea Lissu.
 
Mpigania uhuru husimamia kile anachokisema

Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana

Fikiria anasema ataamuasha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.

Hivi kuna mwanasiasa hapo?

Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.

Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo
20250327_181820.jpg

Unaona matapeli hawa?
 
Uasi ni nini, civil disobedience ni nini na uanamapinduzi ni nini?

Ukiwa na serikali dhalimu unaruhusiwa kuiasi au huruhusiwi?

This is not merely a legal matter, there is an ethical matter here, do you know the difference?
Ethical dilemma
Uchawa
Nani kajamba? Of course we know who did it,
But they have guns!
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Uasi wa kutokwenda kuiangalia Yanga ikicheza au Uasi wa kutokwenda kuiangalia Simba ikicheza mpira au ule Uasi aliousema Mwalimu kwa vijana au Uasi wa kutokwenda kwenye Nyumba za Ibada au UASI NI KITU GANI HASA ??!
🤣🤣
Civil disobedience ???!
Which is which Bandugu ??!
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Kumbe kudai haki yako ya msingi mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, uwepo wa uchaguzi huri na wa haki, nk ni uasi! Aisee ndiyo nafahamu leo.
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
View attachment 3299846
Gaidi naona umeamka! Vipi Gaza kunaendeleaje?
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Ukitaka kuijua nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa hili basi jaribu kuatarisha kutetelesha amani ya taifa hili
ccm wanahatarisha siku zote uslama wa taifa kwa kupindua matokeo ya chaguzi; hivyo vyombo vinafanya nini, vinalinda ulinzi, shenz
 
Ni mwenda wazimu peke yake ndio anaweza kuleta uasi huku akijua wazi kabisa kwamba hana silaha ya aina yoyote na upande wa pili unazo zana zote za kivita.
Kwa hiyo lisu hawezi kuasi ila watu ndio wanamsemea ameasi kitu ambacho ni mawazo mgando na upofu unaotoka na unafiki wa kiwango cha lami uliopitiliza.
Eti uasi;
 
Mziki kwanza ndio nyimbo ya kwanza katika CD na mmekata pumzi, mngeacha mpaka mzika wa mwisho muone kivumbi, mmeamua kuwaiga Simba kutoingia uwanjani kwa uasi na uhaini wa kutengeneza
 
Back
Top Bottom