PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Uasi wa nini sasa?
Uasi wa kidini?
Uasi wa Kitamaduni?
Uasi wa kiimani?
Kuasi ndoa?
 
Maana ya neno uasi ni kupinga maovu.Maovu lazima yapingwe.waliofungua KESI ni hamnazo tu.unashindwa kumshughulikia mafisadi unafungua vitu vya kijinga ili kulinda ccm
 
Mpigania uhuru husimamia kile anachokisema

Lisu tapeli na wanaomsikiliza akili hawana

Fikiria anasema ataamuasha uasi akihutubia akifika mahakamani akiulizwa anasema sikusema mimi.Anakana.

Hivi kuna mwanasiasa hapo?

Mwanasiasa wa kweli husimamia alichokisema.Lisu hamna Chadema utasikia huyo ndio Mandela wetu.Mandela alisimamia alichotamka nje na mahakamani akasimama nacho.

Lisu anachosema nje akiwekwa mahakamani anakana Mandela koko huyo
Hao nyumbu wasilinganishe stateman na kibaraka. Huyo lofa hajui ht anachokitaka
 
Halafu mleta mada ni Mshabiki mkubwa wa Magaidi ya Kiislamu.
Endeleeni na ujinga wenu na Maria eti No Reform No Election 😁

Halafu Heche yuko wapi kwani? Makamu Mwenyekiti muoga balaa ,nguvu ziko mdomoni tu kwenye kuongea lakini kuandamana aaah 😁
 
Nyie endeleeni na utoto lakini kaeni mkijua kuwa msiposaini kanuni za maadili ya uchaguzi siku ya leo tarehe 12.04.2025 mjue hamtashiriki uchaguzi kwa mujibu wa sheria

INEC hawana muda wa kujibu upuuzi na mambo ya kipunbavu kama haya!

Wakati tume inakusanya maoni na kurekebisha hizi sheria nyie mlikuwa mnaandamana na kupeleka barua kwa mlinzi pale ofisi za UN.
 
Chawa wote watakufa midomo wazi asema Bwana
Ifike mahali muache ujinga! Hamjajipanga na uchaguzi wa mwaka hii basi tulieni mtakuja kushiriki chaguzi zijazo lakini siyo huu wa mwaka huu
 
Upo na akili ndogo sana kuliko punje ya ulezi, ila sishangai ndo akili zenu nyie chawa
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Uasi aliouzungumzia Lissu si uasi wa kuipindua serikali wala nini, ni uasi wa kukataa matendo maovu ya mamlaka-Kufanya uchaguzi usio huru na wa haki kwa kutumia katiba mbovu ambàyo inawapendelea walio madarakani.
Ni wakati sasa kwa bibi kuonesha watanzania kwa dhati na wazi kwamba zile 4R zake anaziishi.
 
Wanaukumbi.

Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..

Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..

Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.

Uliona wapi Muasi anatoa taarifa? 😳
 
mkiwa na maslahi binafsi na chama chenu akili timamu, common sense huwatoka na kubaki kupigania ugali wenu huko mnakotumika kama misukule
Wewe mwenye akili timamu umemsaidaiaje Lissu? Kwa taarifa yako, wenye akili tulimtahadharisha mapema ya kwamba akipata msala ni WA kwake tu. Hana watu, akabisha! Leo mnaishia kuleta falsafa za kijinga zisizomsaidia Lissu Wala ninyi wenyewe. Ni Serikali tu ya Mama Samia mpaka imuonee huruma ndio atatoka na sio ninyi nyumbu! Daaadeki!!!
 
hiyo serika itatiwa presha mpaka imtoe. Ulitaka kuona wananchi wanajitokeza barabarani kupambana na polisi wasiojielewa kukabiliana na raia? Watanzania hawana hulka ya kuandamana kudai haki zao kwa nguvu ila muziki wao ni mnene ingawa huwaoni mitaani wakinyukana na polisi. ogopa sana watu wakimya
 
Back
Top Bottom