Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya..
Huwezi sema utafanya uasi, kukinukisha na maneno mengine ya namna hiyo katika mazingira tuliyonayo kisiasa na kiusalama halafu vyombo vyetu vya ulinzi vikuchekee tu, ukicheka na nyani unavuna mabua.
Pole sana kwa uwezo mdogo wa uelewa.
Ungekuwa na uwezo japo mdogo wa uelewa, ningependa ujibu:
1) Lisu alisema uasi dhidi ya nini?
2) Ni wapi sheria imesema uasi ni uhaini?
3) Maana ya uasi ni nini?
4) Wabunge wale G55 walipoasi dhidi ya msimamo wa Serikali 2, walikuwa wahaini?
Ninyi kweli wendawazimu. Ndiyo maana hata DrSlaa alipotamka kuoinga uporaji wa bandari zetu na kuwapa wajomba zenu waarabu, mlimkamata na kumfungulia kesi ya uhaini? Mmelaaniwa watumishi wa shetani, ninyi na wazao wenu, kwani hamjawa na faida kwa Tanganyika.