PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Neno Kukinukisha,uasi ni neno la kisiasa sawa na neno mageuzi,mapambano na mabadiliko ya uchaguzi wa haki,kila mtu anajua
NO REFORMS NO ELECTION
Ananuka yeye sasa. Mnmshabikia ujinga wake tu naye anajiona eti ni Mandela. Nyinyi mko mtandaoni na watoto wenu wanakula nankuishi vizuri huku mke Tundu akitoa machozi huko Belgium. Acheni hizo


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…