sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nimecheka!BAADA YA MAKENGEZA KUWA MWENYEKITI TUKUTANE KWENYE BOX LA KURA OCTOBER,TUTAWAONYESHA NANI ZAIDI!
Tulimwambia mapema akafikiri sisi ni akili ndogo yeye akili kubwa. Leo hakuna anayemuongelea.Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.
Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.
Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.
Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
SawaLeo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.
Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.
Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.
Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
Jitekenyeeee ucheke mwenyeweeLeo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.
Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.
Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.
Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
Nyie walevi wa visungura mtapiga kura wapi wakati mtakuwa mmelala mitaroniBAADA YA MAKENGEZA KUWA MWENYEKITI TUKUTANE KWENYE BOX LA KURA OCTOBER,TUTAWAONYESHA NANI ZAIDI!
Nyie walevi wa visungura mtapiga kura wapi wakati mtakuwa mmelala mitaroni
Tulia mkuu, siasa ni sayansiLeo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.