Lissu upepo umeshakata, tulimwambia mapema hana supporters. Watu wake wapo busy na Kabendera

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.

Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.

Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.

Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.

Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
 
Ni misukule

Ya Kabendera yana wiki tu yote yatapotea kama upepo
 
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.

Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.

Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.

Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.

Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
Tulimwambia mapema akafikiri sisi ni akili ndogo yeye akili kubwa. Leo hakuna anayemuongelea.
 
Kabendera ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
 
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.

Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.

Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.

Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.

Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
Sawa
 
Jitekenyeeee ucheke mwenyewee
 
BAADA YA MAKENGEZA KUWA MWENYEKITI TUKUTANE KWENYE BOX LA KURA OCTOBER,TUTAWAONYESHA NANI ZAIDI!
Nyie walevi wa visungura mtapiga kura wapi wakati mtakuwa mmelala mitaroni
 
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.

Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.

Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.

Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.

Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.
Tulia mkuu, siasa ni sayansi
 
Naona Lissuphobia inawatesa! Mpaka kufika siku ya uchaguzi mtakuwa mmedevelop hyteria!
 
Nimecheka sana aisee 😂😂😂😂😂

Uliyosema ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom