sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.
Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.
Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya kuchinjwa na Mbowe tarehe 21.
Lissu narudia kukwambia hauna watu royal ndio maana tulikuonya achana na kiti cha Mbowe.