Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772

Lissu, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Asema Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga,​


  • Vitu ambacho Kigogo hajasema:
 
Wingi na umoja wetu ni silaha na ngao kubwa zaidi.

Kwa wingi wetu na umoja wetu uwezo wetu ni mkubwa kuliko wa jeshi lenye kubeba silaha.

Kwa kuchagua kuachana na miamala ya simu hata kama hawataki kutoondoa tozo zao habari yake wanaipata.
 
Kwa kuwa ccm imetufikisha huku tulipo Basi mtambue kuna watu fulani wamesikia ushauri wa kigogo!!WATAANZISHA JESHI LA MSITUNI KWA MSAADA WA MATAJIRI FULANI WA NJE AU NDANI!!!HADI CCM ISHTUKE KUWA WAO NDIYO WAASISI WA UGAIDI,MACHAFUKO WATAKUWA WAMESHA CHELEWA SANA NA DAMAGE ITAKUWA DONE!!!!!
 
CCM wataondoka kwa Hoja...hawa ni wa kuundia movement ya mstuni hawa wepesi hivi...?

Nipo na Lissu..njia za kidemokrasia zinakwenda kuwaondoa...

Katiba mpya ndiyo daraja wa haya yote...na ndiyo maana ukitaja Katiba mpya kwa CCM ni kama umeminya nyeti kwa supana koleo.
 
Wingi na umoja wetu ni silaha na ngao kubwa kwetu.

Kwa wingi wetu na umoja wetu uwezo wetu ni mkubwa wa jeshi lenyewe kubeba silaha.

Kwa kuchagua kuachana miamala ya simu hata kama hawataki kutoondoa tozo habari yake wataipata.
Wewe jamaa itakuwa unavuta bangi, una hallucinations nyingi sana
 
It's well documented that you are possessed with deep-rooted hatred towards Chadema.

What's the catch here, ndugu?
 
Chahali wakati Rais Magufuli ameingia Madarakani ulikuwa mpiga debe wake mkubwa sana. Baadae ukaja tujulisha umma kiwa Kinana amekudhulumu mamilioni ya Shilingi baada ya kutokulipa kwa kumfanyia kampeni Magufuli 2015. Baadae ukaja geuka kuwa mkosoaji wake mkubwa.

Kwa sasa Ni mpiga debe mkubwa Rais Samia. Tujifunze kutokana na Historia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…