King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sijawahi waamini Kigogo wala Chahali. Huwa ni wapiga ramli ambao wako kutimiza maslahi yao ya kifedha tu.
Hawa wanajuana wakigongana kwenye maslahi yao wanatifuana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi waamini Kigogo wala Chahali. Huwa ni wapiga ramli ambao wako kutimiza maslahi yao ya kifedha tu.
Kabisa huo. Ushauri wa Kigogo ni wa kijinga sana. Tatizo la hawa wanaharakati hasa wanaoishi kwa kujificha, mara nyingi ni very theoretical.Tundu Lissu yuko very matured upstairs
Inashangaza sana....jamaa hata utambulisho wake halisi haujulikani lakini amekuwa maarufu kweli kweli mpaka amepata 'attention' kubwa kutoka kwa wanasiasa, viongozi.Why hata ana reply hoja za kigogo?
Kigogo nae wa kujibiwa na watu serious?
Ukiwa na information relevant duniani, wewe ni tajiri zaidi ya Jeff Bezos na bilioni zake almost dola 200!!! ^Those who read lead; readers are leaders.^Inashangaza sana....jamaa hata utambulisho wake halisi haujulikani lakini amekuwa maarufu kweli kweli mpaka amepata 'attention' kubwa kutoka kwa wanasiasa, viongozi.
Uwa nacheka sana Pro-Chadema wanashikia akili na Kigogo mtu mwenyewe anajificha kama nguchiro huyu ndiyo kamungiza mkenge Mbowe.
Chadema ijikite kwenye misingi ya kuanzishwa Kwake,anaona kuna haja ya.kuwa na jeshi aanzishe chama chake kwa misingi hiyoLissu Amjibu Kigogo, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Amwambia Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga, Abainisha Kuwa Kigogo Hana Uzoefu Wa Kuendesha Chama Chochote
View attachment 1876547
- Vitu ambacho Kigogo hajasema:
Moto mara baridi,Mama kawavuruga hawa wapinzani 🤣🤣
Sasa hivi wameanza kupingana wao wenyewe.
Maadui wa ukombozi huja kwa njia mbalimbali.Lissu Amjibu Kigogo, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Amwambia Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga, Abainisha Kuwa Kigogo Hana Uzoefu Wa Kuendesha Chama Chochote
Hawa rangi bili dawa yao ni hiyo tu, kutowaonea haya.Chahali wakati Rais Magufuli ameingia Madarakani ulikuwa mpiga debe wake mkubwa sana. Baadae ukaja tujulisha umma kiwa Kinana amekudhulumu mamilioni ya Shilingi baada ya kutokulipa kwa kumfanyia kampeni Magufuli 2015. Baadae ukaja geuka kuwa mkosoaji wake mkubwa.
Kwa sasa Ni mpiga debe mkubwa Rais Samia. Tujifunze kutokana na Historia?
Inawezekana sio mfuatiliaji mzuri wa Kigogo vs CHADEMA...Mama kawavuruga hawa wapinzani 🤣🤣
Sasa hivi wameanza kupingana wao wenyewe.
Kilog isiwe double agent. Ushauri wake huu utafanya ushahidi wa kesi ya John Walker/Faru John ni mwepesi mno.Ina maana Lissu anamfahamu kigogo hadi aseme kwamba hajawahi ongoza hata chama chochote cha siasa? kwa maana hiyo kumbe kama serikali inamuhitaji kigogo basi lissu atakua msaada mkubwa kuisadia polisi kwa sababu anaonekana wazi kua anamfahamu vyema.