Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ndivyo inavyotakiwa. Marekani Biden anashindwa kufanya atakalo kwa sababu ya Mancin na Sinema. Republicans, hivyo hivyo, wakina Cheney wamekataa kufuata muongozo wa viongozi wao kuhusu mambo yaliyotokea tarehe 6 Januari. Kwa sababu hiyo, ukiona Lissu, Zitto, Kigogo na wengine wanatofautiana ujue kuwa upinzani uko hai.Mama kawavuruga hawa wapinzani 🤣🤣
Sasa hivi wameanza kupingana wao wenyewe.
Unapoona chama chochote cha siasa kinakubaliana kwa 100% katika kila jambo ujue kuna tatizo.
Amandla...