Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

si hata chadema nao ni pro-samia isipokuwa mambo machache sana.

chadema wana ugomvi na timu inayomzingira samia sio samia. na ndio maana wamesema hawatasimamisha mgombea 2025
 
Kigogo pale Chadema ni kama nani?
 
Kigogo anapiga risasi kila upande ...
 
Inashangaza sana....jamaa hata utambulisho wake halisi haujulikani lakini amekuwa maarufu kweli kweli mpaka amepata 'attention' kubwa kutoka kwa wanasiasa, viongozi.

ccm kwa kujitoa ufaham
 
kigo2 cdm,lissu ,Mr hai...wamepishana wapi !!??,naona saivi hawaaminiani tena,wameanza kuunguzana wao kwa wao,kipindi Cha magu walikuwa pamoja na ku run deals pamoja, soon after mama ku take over wakawa half half hivi kwenye ku run deals ,inaonekana baada ya mama ku take over ,kila mmoja akawa na interest zake tofauti na target zao za mwanzo.mr hai kwa Sasa ni suspect wa ugaidi na ninavyoona hii kitu haitamuacha salama ,alichokosea Mr hai ni kukubali ku run deals pamoja na kina kigo2,kuwa overtake kina kigo2 ni issue Sana,so Mr hai u did a big mistake to sign deal na kigo2 clue.kwa Sasa kigo2 amedukuwa data kibao za Mr hai,anachofanya ni ku toa update kiaina aina Kama vile anatoa ushairi kwa cdm kumbe ndo ana release one point after another kwa Yale aliyoyadukuwa kutoka kwa Mr hai.
 
Dogo unaota
 
Hata kama ushauri wa kigogo ni sahihi siyo wa kuweka public
 
Naunga mkonyo hoja...- Eng Manyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…