Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

Kuna mitz haijui mlio wa risasi live inapeendaaaa kusikia, Ngoja nifunge maombi itokee hvo hata miaka mitano tuwe kama Afganstan tuenjoy movie za mabom😂😂
 

Hamia somalia. Watanzania hatuna shida yoyote. Acha uvivu fanya kazi. Siasa zenu mnaweza hata kwenda kutawala South Sudan.
 
Lissu ameongea hoja za msingi.
Namuunga mkono.
CHADEMA hawako tayari kumwaga damu za watanzania kwa sababu ya madaraka tu.

Watashindana kwa hoja katika majukwaa ya kisiasa na siyo kwa mabomu na marisasi msituni.

Bullets and bombs are political tools to power mongers, stupid and uncivilized politicians.
 
Ule useme wa "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu"siku watakapo uelewa wapinzani,wakaanzisha Chama kimoja au viwili vyenye nguvu,badala ya kuwa na utitiri vya vyama,itakuwa ni ndoto kuiondoa CCM madarakani.Njia sahihi ni kwa sanduku la kura badala ya njia zingine zinatajwatajwa.Viongozi wa upinzani waache ubinafsi ,waungane badala ya kutengana na kuanza kugombania wateja,miluzi mingi humpoteza .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…