Pre GE2025 Lissu usijitoe kwenye kinyang'anyiro, mshindani wako hofu anayo. Jitokeze na panga timu yako kuwapa hari wajumbe wanaokuunga mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakubaliana nawe mtibeli
 
Lisu hana wajumbe wa kutosha wa mkutano mkuu Taifa wanaomuunga mkono.

Infact,
wajumbe wanaomuunga mkono Lisu hawazidi 50 kanda zote 10 za kiutawala chadema.

Hakuna mwenyekiti wa mkoa au kanda anaemuunga mkono Lisu. Juzi Devota Minja kada mtiifu kindakindaki na mfuasi mkuu wa Mbowe kashinda uchaguzi Kanda ya Kati mbele ya Lisu, huku mgombea wa lisu akiwa anang'aa macho tu.

Baada ya ushindi,
Devota Minja aka drive moja kwa moja mpaka dar kumsindikiza mwenyekiti MBOWE kuchukua formu 🐒
 

Gentleman utajionea mwenyewe

Muhimu uchaguzi uwe wa Haki utaona jinsi Lisu akishinda


Lisu hakumshinda tuu JPM lakini kwa hapo CHADEMA, hakuna mwenye ushawishi zaidi yake. Achana na hao wapambe wanaotaka kupewa pesa
 
Nakubaliana nawe mtibeli

Wajumbe waliomo humu wengi wao wanamsapoti Lisu.
Baadhi Yao ninaowajua nimeona wamepiga Kura humu JF ya kumchagua Lisu.
Mbowe anahitaji muujiza Mkubwa kumshinda Lisu.

Pamoja na nguvu itakayotumika bado Mbowe ataangukia pua kwa Kura za kutosha
 
Gentleman utajionea mwenyewe

Muhimu uchaguzi uwe wa Haki utaona jinsi Lisu akishinda


Lisu hakumshinda tuu JPM lakini kwa hapo CHADEMA, hakuna mwenye ushawishi zaidi yake. Achana na hao wapambe wanaotaka kupewa pesa
Gentleman,
masharti ya nini au ndiyo starter au exit strategy?

uchaguzi ni wa chama kimoja, wagombea ni wa chama kimoja.
kiwewe na mawenge ya eti uchaguzi ni sharti uwe wa haki yanatoka wapi?

kama unahisi kudhulumuwa si ujiengue mapema kuliko kujihami na kujiandaa kuleta fujo kwa aina hiyo ya masharti?🐒
 

Mbowe hawezi kushinda
Mimi mwenyewe nilitaka yeye agombee ili kutoa upinzani WA kweli kwenye uchaguzi huu.

Muhimu uwe wa HAKI. Pasiwepo Rushwa n.k.
 

Hakuna kujiengua Gentleman.

Subiri uone mambo yanavyoenda
 
Bonge ya ujumbe kama ya Obama yaani
 
Naunga hoja mkono for 100% mkuu , lissu atamchakaza Mbowe mapema mno
 

Yeah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…