Pre GE2025 Lissu usijitoe kwenye kinyang'anyiro, mshindani wako hofu anayo. Jitokeze na panga timu yako kuwapa hari wajumbe wanaokuunga mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwema Wakuu!

Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia.
Wape nguvu.
Onyesha wewe ni Nani.

Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.

Zile ni Mbwembwe tuu.
Mbowe mwenyewe anahofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu inayoenda kumpata. Lakini hayakulaumu kwa sababu ametaka mwenyewe. Aibu ya kujitakia hiyo.

Kabiliana naye inavyomstahili. Shambulia kadiri anavyokuja.

Tumia wafuasi wako kukabiliana na mashambulizi ya mtandaoni na kwenye Media. Ili kutowapa ubaridi wale wajumbe wenye Moto mdogo.

Wewe ni kama Daudi. Goliath lazima adondoke. Jikaze! Kazana! Ongeza uhodari na mbinu ili kuongoza jeshi lako la wajumbe.

Wewe ni kama Gideoni.

Ukitoka kwenye Press usionyeshe hata chembe Moja ya woga, usilalamike, wla kuonyesha kuwa mshindani wako kapewa upendeleo Fulani.

Waambie wajumbe wako;
"Tunaenda kuandika Historia isiyosahaulika. Ikumbukeni siku hii ya Leo. Hii itakuwa siku kubwa. Tayari mmeona WA upande ule walivyo na hofu juu yetu. Wanatapatapa!
Hahahahaa! Wanajua hawana uwezo wa kutushinda. Kwa sababu Sisi ni watu imara. Mioyo yetu inathamani kubwa kiasi cha fedha kushindwa kutununua.

Mmesikia wakisema Sisi ni wabangaizaji, ni kweli Sisi tunabangaiza lakini wameshindwa kutununua, lakini wao ambao sio wabangaizaji wanabei ndio maana wamenunuliwa kama bidhaa.

Sisi tupo kwaajili ya watu kulinda utu wao. Lakini wao wapo kwaajili ya pesa ndio maana wakauza UTU wao na wanataka kuuza utu wa Watanzania.

Vipi! Mmesikia wakisema wametoa pesa kukiendesha chama, wamefilisiwa, lakini vipi kuhusu Sisi na familia zetu. Je pesa inathamani kuliko damu za wanaharakati wetu waliouwa, waliotiwa vilema, waliopotezwa,
Wao walitoa pesa wakavuna pesa. Je Sisi tulitoa damu na roho zetu kwenye chama hiki tulipata kitu gani? Na hatuna tunachohitaji zaidi ya kukomboa Haki za watu wetu wanyonge. Watu hao wapo chamani na wengine sio WA chama hiki

Pesa Zao haziwezi kuwa na thamani kuliko maumivu na roho za wenzetu zilizopotea.

Wamewadharau Watanzania ambao wengi wetu ni wabangaizaji.
Mawazo hayo ndio hutumika kuwanyima Haki wanyonge kwa kutokana na umaskini wao.

Tunajua wao bila Rushwa hawana uwezo wowote.
Tunajua wao bila Kutafuta watu dhaifu wanaonunulika hawana uwezo wowote ule.

Nendeni mkapige Kura mkawaonyeshe ninyi ni wabangaizaji msio na bei, ambao hamnunuliki.

Lisu usijitoe.
Nakubaliana nawe mtibeli
 
Lisu hana wajumbe wa kutosha wa mkutano mkuu Taifa wanaomuunga mkono.

Infact,
wajumbe wanaomuunga mkono Lisu hawazidi 50 kanda zote 10 za kiutawala chadema.

Hakuna mwenyekiti wa mkoa au kanda anaemuunga mkono Lisu. Juzi Devota Minja kada mtiifu kindakindaki na mfuasi mkuu wa Mbowe kashinda uchaguzi Kanda ya Kati mbele ya Lisu, huku mgombea wa lisu akiwa anang'aa macho tu.

Baada ya ushindi,
Devota Minja aka drive moja kwa moja mpaka dar kumsindikiza mwenyekiti MBOWE kuchukua formu 🐒
 
Gentleman utajionea mwenyewe

Muhimu uchaguzi uwe wa Haki utaona jinsi Lisu akishinda

Lisu hakumshinda tuu JPM lakini kwa hapo CHADEMA, hakuna mwenye ushawishi zaidi yake. Achana na hao wapambe wanaotaka kupewa pesa
 
Nakubaliana nawe mtibeli

Wajumbe waliomo humu wengi wao wanamsapoti Lisu.
Baadhi Yao ninaowajua nimeona wamepiga Kura humu JF ya kumchagua Lisu.
Mbowe anahitaji muujiza Mkubwa kumshinda Lisu.

Pamoja na nguvu itakayotumika bado Mbowe ataangukia pua kwa Kura za kutosha
 
Gentleman utajionea mwenyewe

Muhimu uchaguzi uwe wa Haki utaona jinsi Lisu akishinda

Lisu hakumshinda tuu JPM lakini kwa hapo CHADEMA, hakuna mwenye ushawishi zaidi yake. Achana na hao wapambe wanaotaka kupewa pesa
Gentleman,
masharti ya nini au ndiyo starter au exit strategy?

uchaguzi ni wa chama kimoja, wagombea ni wa chama kimoja.
kiwewe na mawenge ya eti uchaguzi ni sharti uwe wa haki yanatoka wapi?

kama unahisi kudhulumuwa si ujiengue mapema kuliko kujihami na kujiandaa kuleta fujo kwa aina hiyo ya masharti?🐒
 
Sawa...na ndiyo maana mwenzake Mh Mbowe kasema wakutane kwa Box ili liamue.
Hii ndiyo demokrasia ya mfano kwa CCM - anayeshindwa akubaki matokeo arudi kundini ajiunge na washindi wakisukume chama mbele.
.Best wishes Lissu vs Mbowe !!

Wanaotaka Mbowe ajitoe ama Lissu ajitoe hawana nia nzuri na CDM.

Mbowe hawezi kushinda
Mimi mwenyewe nilitaka yeye agombee ili kutoa upinzani WA kweli kwenye uchaguzi huu.

Muhimu uwe wa HAKI. Pasiwepo Rushwa n.k.
 
Gentleman,
masharti ya nini au ndiyo starter au exit strategy?

uchaguzi ni wa chama kimoja, wagombea ni wa chama kimoja.
kiwewe na mawenge ya eti uchaguzi ni sharti uwe wa haki yanatoka wapi?

kama unahisi kudhulumuwa si ujiengue mapema kuliko kujihami na kujiandaa kuleta fujo kwa aina hiyo ya masharti?🐒

Hakuna kujiengua Gentleman.

Subiri uone mambo yanavyoenda
 
Kwema Wakuu!

Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia.
Wape nguvu.
Onyesha wewe ni Nani.

Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.

Zile ni Mbwembwe tuu.
Mbowe mwenyewe anahofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu inayoenda kumpata. Lakini hayakulaumu kwa sababu ametaka mwenyewe. Aibu ya kujitakia hiyo.

Kabiliana naye inavyomstahili. Shambulia kadiri anavyokuja.

Tumia wafuasi wako kukabiliana na mashambulizi ya mtandaoni na kwenye Media. Ili kutowapa ubaridi wale wajumbe wenye Moto mdogo.

Wewe ni kama Daudi. Goliath lazima adondoke. Jikaze! Kazana! Ongeza uhodari na mbinu ili kuongoza jeshi lako la wajumbe.

Wewe ni kama Gideoni.

Ukitoka kwenye Press usionyeshe hata chembe Moja ya woga, usilalamike, wla kuonyesha kuwa mshindani wako kapewa upendeleo Fulani.

Waambie wajumbe wako;
"Tunaenda kuandika Historia isiyosahaulika. Ikumbukeni siku hii ya Leo. Hii itakuwa siku kubwa. Tayari mmeona WA upande ule walivyo na hofu juu yetu. Wanatapatapa!
Hahahahaa! Wanajua hawana uwezo wa kutushinda. Kwa sababu Sisi ni watu imara. Mioyo yetu inathamani kubwa kiasi cha fedha kushindwa kutununua.

Mmesikia wakisema Sisi ni wabangaizaji, ni kweli Sisi tunabangaiza lakini wameshindwa kutununua, lakini wao ambao sio wabangaizaji wanabei ndio maana wamenunuliwa kama bidhaa.

Sisi tupo kwaajili ya watu kulinda utu wao. Lakini wao wapo kwaajili ya pesa ndio maana wakauza UTU wao na wanataka kuuza utu wa Watanzania.

Vipi! Mmesikia wakisema wametoa pesa kukiendesha chama, wamefilisiwa, lakini vipi kuhusu Sisi na familia zetu. Je pesa inathamani kuliko damu za wanaharakati wetu waliouwa, waliotiwa vilema, waliopotezwa,
Wao walitoa pesa wakavuna pesa. Je Sisi tulitoa damu na roho zetu kwenye chama hiki tulipata kitu gani? Na hatuna tunachohitaji zaidi ya kukomboa Haki za watu wetu wanyonge. Watu hao wapo chamani na wengine sio WA chama hiki

Pesa Zao haziwezi kuwa na thamani kuliko maumivu na roho za wenzetu zilizopotea.

Wamewadharau Watanzania ambao wengi wetu ni wabangaizaji.
Mawazo hayo ndio hutumika kuwanyima Haki wanyonge kwa kutokana na umaskini wao.

Tunajua wao bila Rushwa hawana uwezo wowote.
Tunajua wao bila Kutafuta watu dhaifu wanaonunulika hawana uwezo wowote ule.

Nendeni mkapige Kura mkawaonyeshe ninyi ni wabangaizaji msio na bei, ambao hamnunuliki.

Lisu usijitoe.
Bonge ya ujumbe kama ya Obama yaani
 
Naunga hoja mkono for 100% mkuu , lissu atamchakaza Mbowe mapema mno
 
Asante kwa andiko zuri fasihi imelala mahali pake...Mbowe hana "Political fan base" huko kwenye Grass Roots tofauti na Lisu bingwa wa amsha amsha za majukwaani.. kitu pekee anachojivunia ni mtandao alijitengenezea ndani unategemea mgao wa pesa ya kuhongwa na watawala hususan Mastermind Abdul Samia.

Yeah
 
Back
Top Bottom