Lissu Vs Zitto: Nani mkali wa kujenga hoja za kisiasa?

Elezea sehemu hata moja waliyotumia uwezo wao kuiangamiza nchi kwa kila mmoja wao
Kuzuia misaada na mikopo na kutaka tuwekewe vikwazo kisha nchi ianguke,
Sasa wao watainyanyua kwa muda UPI wakati wananchi watakuwa wameumia tayari.
 
Hapo ndio kwenye shida mkuu ila angalau Magufuli tumeshamuona
 

Hoja kama hizi zina alama za vidole tokea chama fulani kisichoitakia mema nchi hii.

Mkuu kachukue hoja za kila mmoja utafute ile wanaita kapani upime uzito.

Ukimaliza upime na za yule jamaa anayesema: "Mungu hoyeeeee!!!!!!"
 
Hayo ni mawazo yako binafsi Ila lisu watu wamemuelewa sana ndo mana hoja zake zinawapa tabu sana ccm
 
Hoja kama hizi zina alama za vidole tokea chama fulani kisichoitakia mema nchi hii.

Mkuu kachukue hoja za kila mmoja utafute ile wanaita kapani upime uzito.

Ukimaliza upime na za yule jamaa anayesema: "Mungu hoyeeeee!!!!!!"
Leo tumeanza na hao wawili
 

Itapendeza zaidi ukimuongeza JPM kwenye mlinganisho huu. Je, anawazidi wote hao? Kwa umbali gani?
 

Unafikiri mtindo wa kuongea kwenye jukwaa la siasa ni sawa na kwenye ukumbi wa mhadhara (lecture room) au kwenye press interview? Unafikiri ni vipi Lissu na JPM wanavuma zaidi kwenye majukwaa ya siasa kuliko Zitto?
 
Hao wote hakuna kitu, bila ushabiki nasema katika upinzani hapa TZ Mbowe ndio wanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja bila jazba na kwa utulivu wa hali juu.

Afadhali. Angalau safari hii Mbowe kathaminiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…