Lissu Vs Zitto: Nani mkali wa kujenga hoja za kisiasa?

Huo ndio ukweli mweupeeee
 
Cheamani ni mkomavu wa kisiasa

Yeah, credit to Mbowe, at last. Ukomavu huo ndio unaomuwezesha kutambua na kupendekeza vipaji sahihi kwa nafasi maalum. Kama Lissu na Mwalimu kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye nafasi ya u-Rais/MR.
 
Lazaro jee?
Yeah, credit to Mbowe, at last. Ukomavu huo ndio unaomuwezesha kutambua na kupendekeza vipaji sahihi kwa nafasi maalum. Kama Lissu na Mwalimu kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye nafasi ya u-Rais/MR.
 
Mbona umemsahau Mwenyekiti wenu Jiwe?
 
Mbwa kala mbwa
 
Kwa mlivyo zidiwa na hoja mujarabu za Mh. Rais wa awamu ya 6, Mh. T. A. M. Lissu,sipati picha mkiwa vyumbani na waume zenu,ni full mizuka ya "Lissuuuuu" .
Lissu ni ZZK wawili na nusu.
Lissu ni "jiwe" tani 10000.
Lissu ni mikungu ya ndizi mia tano ya muuza ndizi aliye na PhD.
Lissu ni chakubanga 800.
Lissu ni wanambogamboga 4.8 milioni.
 
Man and a half. Sawa
 
Watanzania wengi hawajali hoja za kisiasa,wanaongozwa na hisia zaidi.
 
Fact, regard on your mind

Kwa upande wng, wote wazur kweny hoja ila kinachowatofautisha ni professionalism zao (viatu vya Lissu hawez kuvaa Zitto, the same Viatu vya Zitto hawezi Kuvaa Lissu) ila wakikaa pa1 aiseee ni balaaaaaaa la dunia.

A person From Tandahimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…