Yes,Kumbe. Hicho ndiyo kipimio chako?
Basi, kumbe ninayokupasha yanakuingia vizuri akilini mwako. Chukuwa muda kuyatafakari, kuna siku utaona ukweli wake ulipo.
"Muungwana = Lugha za staha", mkuu 'Tlaa' hivi kweli hujui kuwa watu wanaelewa hizi hadaa zenu?Yes,
hiyo ni sehemu na dalili ya mwanzo tu, ya kumbaini muungwana alie kata tamaa, kukosa hoja na uelekeo kama wewe ndugu yake penseli 🐒
nikushauri tu gentleman,"Muungwana = Lugha za staha", mkuu 'Tlaa' hivi kweli hujui kuwa watu wanaelewa hizi hadaa zenu?
Uungwana na staha, ndiyo ziwe ngao za kupumbaza watu wapuuze maovu mnayo wafanyia?
"...kukata tamaa..." msamiati huo uondoe kabisa inapohusu Tanzania. Hakuna kukata tamaa.
Wewe kinacho endelea kukurudisha hapa ni kitu gani. Kwa nini unang'ang'a'nia kunipa ushauri nisio uhitaji?jambo lingine muhimu,
huna haja ya kubabaika wala kung"ang"ana na ushauri, hoja, maoni au mtazamo amabo huna haja nao....
ni njia muhimu sana ya kutumia muda wako vizuri kujifunza na kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo mengine mengi, kadiri ya utashi na mapenzi yako kwayo....
ndio maana usipokua na detail infomations hata kwa mada unazo anzisha mwenyewe, ukianza tu kuhitumisha reply za wadau kwa matusi na mihemko, wataalamu, unanjua kabisa kazi ya gentleman imeishia hapo
ni mpole sana mimieeWewe kinacho endelea kukurudisha hapa ni kitu gani. Kwa nini unang'ang'a'nia kunipa ushauri nisio uhitaji?
Ni psychology ndogo sana mnayoitumia katika njia zenu, kujifanya
kuwa na upole katika uandishi, kama unavyofanya hapa, huku huko ndani mkiwaka moto kwa maumivu.
Sisi wengine tunakupa hapo hapo, u-deal na maumivu mwenyewe, badala ya kuyaingiza akilini mwetu yaendelee kutusumbua.
Two diametrically opposite positions.
Hatari sana. Huko ndani unaungua kwa moto mkali.ni mpole sana mimiee
sina mihemko kabisaee, right?
ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, niko hivi nilivyo gentleman
Kumbe Lissu nae alichota mapesa ya Lowassa, kweli usiamini mwanasiasa yoyote kasoro magufuliKwani yeye ni msafi?
Hivi amesahau alivyotusaliti kundi la wapinga ujio wa Lowassa baada ya kukatiwa cha juu na huyo huyo anayemwita mla rushwa leo? Alitusaliti wazi wazi na kuhamia kundi la mbowe. Kudadeki eti leo anajifanya mtakatifu na kuisema rushwa; unafiki mtupu.
Pesa anazopokea kutoka kwa wazungu anadhani ni nini kama siyo rushwa?
Kwali chizi ni chizi tu!
Mpaka unaona aibuLisu mwenyewe uchaguzi uliopita kuna maeneo aligawa Sana rushwa Kwa wapiga kura
Wezi mnatafuta utetezi wa reja reja kwa LissuKumbe Lissu nae alichota mapesa ya Lowassa, kweli usiamini mwanasiasa yoyote kasoro magufuli
KweliHatari sana. Huko ndani unaungua kwa moto mkali.
Chukua tahadhari mapema. Jifunze njia za kuondoa hiyo 'stress' unayoiziba ndani kwa ndani, vinginevyo, hicho ki-moyo (heart) unakiumiza kila siku.
Hapana: Rudi nyuma kidogo kwenye ukurasa huu huu au uliopita. Umejionyesha waziwazi jinsi unavyo hemuka.
Soma tena mandishi hayo.
Usiamini mwanasiasa yeyote, hasa hawa wanasiasa wetu uchwara.Kumbe Lissu nae alichota mapesa ya Lowassa, kweli usiamini mwanasiasa yoyote kasoro magufuli