Pre GE2025 Lissu: Waliopinga maridhiano toka mwanzo wote wameshughulikiwa, sasa nami nashughulikiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Mbowe obvious yangekuwa maridhiano fake.

Maridhiano yasiyozingatia Katiba iliyopo wala ijayo ni marudhiano hewa.
 
Kwakweli lissu anajishushia heshima yake aliokuwa ameijenga mfano anasema kuwa heche alipinga suala la maZungumzo ya kutafuta mariadhiano ambayo kimsingi hayakufikia mwisho lkn mpaka yanavunjika Bado heche hakuwahi kujitoa ktk kamati hiyo ya wajumbe watano walioshiriki maZungumzo hayo
 
Mtalala na viatu.....uovu unazidi kuanikwa.
 
Lisu atashughikiwa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa siku ya uchaguzi.

hakuna haya ya kupiga mayowe, kuendekeza mdomo na makelele 🐒
 


Mbowe hana sifa ya kutamka neno Demokrasia .

Hata waliokabidhiwa chama wa aliweka ukomo wa miaka kumi tu na sio kuanza kuweka wajumbe wake kama Kagaeme kisha anaitisha uchaguzi . Ni ux3ng3 mkubwa kumshabikia Mbowe kung'ang'ania madaraka . Hakuna mtu mmoja anayejenga Chama . Harakati wa kudai vyama vingi hakuaneizsha Mbowe . Mbowe kile Chama anakitumia kibiashara . Rushwa ndiyo inayomuweka pale mpaka anavua wengine na kuwarushia watu kisha anajifanya anauchungu sana na chama , ni ujinga mtupu ,chama ni sio kitu cha kumfanya mbowe wa awe mafia bali ni pesa za rushwa kuhujumu upinzani isishuke Dola .

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anakubali kuwe kuna maridhiano ya kisiasa dunia yasiyo na masharti ya kugawana nafasi za kiuongozi . Marudhiano yalipaswa yalenge viti vya ubunge kwa uwiano . Yaani mpaka kijijini kwa Mbowe wameonyanganya kura halafu anasema eti kuna faida za Maridhiano ?

Hiyo faida ya maridhiano ni ya kifedha sio kisiasa . Kisiasa hakuna maridhiano yoyote yaliyofanyika bali ni usanii. Yaani kufanya mikutano ndiyo marudhiano ?
Pumbavu sana!!.
Kwani suala la mikutano ni fadhila au ni sheria ? Sasa mnaridhiana nini kwenye mambo yaliyopo kisheria ?

Nilitegemea Tapeli na Fisadi Mbowe atuambie kuwa Wamekubaliana kuwa Mkurugenzi atakayevuruga uchaguzi atachukuliwa hatua ya kusimamishwa kwazi na kufikishwa mahakamani yeye mwenyewe na Rais Samia atekeleze kwa vitendo kuanzia chaguzi ndogo za kule Kigoma lakini wapi ?
Sasa hapo hayo maridhiano yalihusu nini kama hayakuhusu kulinda kura na kuzuia watu kupigwa na kuumizwa ,kutekwa na kuuawa wakati wa uchaguzi.

Nafikiri maridhiano yao ni kulinda ufisadi na mafisadi na wauaji akiwemo Mbowe wasishitakiwe. Maana Mbowe ametuhumiwa kwa mauaji lakini hatuoni akikamatwa na kufunguliwa kesi . Alitajwa tangu wakati wa Chacha wa Wangwe .Lakini pia Rais alimtaja kwa kupitia kauli ya Dr. Slaa kuwa Mbowe alikua na Genge la watekaji na wauaji .Tulitegemea kauli ya Rais ifanyiwe kazi na Mbowe akamatwe haraka sana kwa kesi ya mauaji uchunguzi ufanyike lakini nadhani hapo ndio penye maridhiano ya kulindana .

Ni wazi kuwa jambo la Busara kabisa ni Lisu ama kuhama chama au kujitoa na kumwachia mbowe chama chake na genge lake . Hatuwezi kuwa na nchi ya wafua chama . Dunia ya leo hata wafia dini hatutahitaji sembuse haya mavyama yaliyoanzishwa na majizi na matapeli na mafisadi wakubwa .
 
Imagine utapeli wa mbowe tusingejulishwa leo. Tungepigea miama mingine mitano huku ma comrade wenzetu wakiendele kutekwa na kuuliwa.

Kweli kabisa . Huu uchaguzi mpaka usishe tutaona uovu wote wa Mbowe na genge lake lile lililotajwa na Dr.Slaa na kurudiwa na Dr. Samia . Lakini pia ile kesi ya ugaidi huenda ilikua na ukweli na ikafutwa kwa makubaliano ya kulindana
 
Nilikuambia uache matusi lakini haukomi. Utakuwa wa kwanza kwenye ignore list yangu.

Amandla....
 
Hahahahaaahhahaahaa
 
Msigwa yuko wapi sasa baada ya kupinga maridhiano? Kwa hio Msigwa alikimbilia kule abako wanapinga kufanya maridhiani na CDM?
Mkuu si umeambiwa walishughulikiwa? We unadhani Msigwa kahamia kwa Ridhaa yake?

Uwe unaelewa unaposikia mtu kushughulikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…